SOTE TUWAJIBIKE LINAPOKUJA SUALA LA UTAWALA BORA-TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-lsa7O-2X96I/U7jjRzC2IQI/AAAAAAAFvRI/z2ffYVnt5QE/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati mchakato wa maandalizi ya ajenda na malengo mapya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ukiendelea kushika kasi kwa mijadala mbalimbali inayoendelea hapa Umoja wa Mataifa. Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa upande wake imesisitiza kuwa pamoja na kukubaliana kwamba suala la utawala bora ni muhimu katika utekelezaji wa maendeleo na kupiga vita umaskini, hata hivyo eneo hilo halipashwi kuwa la upande mmoja. “Hoja ya utawala bora ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wataka Tanzania kuhakikisha inaheshimu utawala bora suala sheria ya makosa ya Kimtandao
Joint Statement on Human Rights Infringements-LHRC_FIN_SWH.pdf
11 years ago
Habarileo10 Mar
Tanzania yang’ara katika utawala bora
MPANGO wa Afrika wa kujitathmini kiutawala bora (APRM) umebainisha kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri katika utawala bora.
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
9 years ago
Habarileo07 Sep
Tume ya Utawala Bora yaonya wanasiasa
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetahadharisha wanasiasa, kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi katika mikutano yao ya kampeni.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Utawala bora bado kikwazo serikalini
UTAWALA bora bado umeonekana kuwa ni tatizo katika wizara na taasisi za serikali wakati wa usimamizi wa rasilimali za nchi kwa wazawa na wawekezaji. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Habarileo12 May
Misingi ya utawala bora yaendelea kuwekwa
SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).
9 years ago
MichuziTUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10