Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingereza kuendeleza misaada Tanzania

Uingereza imeahidi kuendelea kuisaidia Tanzania katika kupambana na umaskini, ufisadi na kuimarisha utawala bora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA MISAADA LA UINGEREZA AKUTANA NA RAIS.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza DFID Vel Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuzungumza na Rais leo (katikati) Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bibi. Dianna Melrose. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza DFID Vel Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na...

 

11 years ago

Michuzi

msamaria mwema wa uingereza atuma misaada kwa mzazi wa mapacha wanne wa mbeya

Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya.   Msamaria mwema wa Uingereza, Bi Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye nguo na vitu kadhaa vya watoto, ambavyo vimewasili salama katika ofisi za Michuzi Media Group (MMG) inayoendesha Globu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini

 Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif akigawa misaada hiyo kwa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini  Dar es salaam  Bibi Maryam Seif, akiendelea kugawa misaada kwa watoto hao yatima wa Kurasini.   Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif,  akimkabidhi misaada hiyo mlezi wa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini Dar es salaam Bibi Maryam Seif, akiwa na baadhi ya watoto hao yatima wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania,Uturuki Kuendeleza Ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Ahmet Davitoglu, (mwenye miwani) akikata utepe kwenye hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha MWANA, kilichopo enero Vingunguti jijini, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kituo hicho kimejengwa na Shirika la Misaada ya Kimataifa, Turkish International Cooperation Development Agency (TIKA) na kimegharimu Dola za Marekani, 165,000. Wengine katika picha ni Balozi wa Uturuki nchini, Ali Davitoglu, wakiwa wameandamana na maofisa wengine wa...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yaeleza mipango yake ya kuendeleza Jotoardhi

 Wajumbe wa Kamati ya Watoa Maamuzi Kamati ya Watoa Maamuzi ya nchi zilizo katika Bonde la Ufa katika kongamano la Tano la Kimataifa la Jotoardhi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho.  Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Watoa Maamuzi wa nchi zilizo katika Bonde la Ufa wakijadiliano jambo wakati wa kikao cha wajumbe hao kujadilia masuala mbalimbali kuhusu utekelezaji wa Jotoardhi kwa nchi wananchama.  Baadhi wa Wajumbe wa Kamati ya Watoa Maamuzi wan chi zilizo...

 

9 years ago

StarTV

Tanzania na Marekani zakubaliana kuendeleza ushirikiano wake

Rais wa Tanzania DK Jakaya Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika, bali utaendelea kuboreshwa zaidi hata baada ya Serikali mpya kuingia madarakani.

Aidha ameiomba Marekani kuiunga mkono Serikali ijayo pamoja na maendeleo ya Tanzania na watu wake, kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, kwa kuchangia uchumi wa nchi kupanda kutoka dola bilioni 14.4 hadi kufikia dola bilioni 50.

 

Rais Kikwete ameyasema hayo...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania na China kuendeleza mawazo ya Nyerere, Mao

TANZANIA na China zimeahidi kuendeleza mahusiano baina yao na kuenzi mawazo ya waasisi wa nchi hizo Mwalimu Julius Nyerere na Mwenyekiti Mao Tse Tung.

 

5 years ago

Michuzi

Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania

Na Martin Nyeka UDBSKATIKA miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. 
Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa imeongezeka kwa milioni 20, ukilinganisha na mwaka uliotangulia (2017). Makadirio yanaonesha kwamba idadi hiyo itaongezeka kwa watumiaji wapya milioni 167 kufikia mwaka 2025.
Hapa Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani