Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzazi wa upasuaji kupunguzwa Brazil

Asilimia 85 ya wanawake Brazil hujifungua watoto kupitia njia ya upasuaji katika hospitali binafsi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANGELINA JOLIE AFANYIWA UPASUAJI, ATOLEWA OVARI, MIRIJA YA UZAZI

Angelina Jolie. MWIGIZAJI wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie amelazimika kutoa ovari zake pamoja na mirija ya uzazi baada ya uchunguzi kuonesha kuwa alikuwa katika hatari ya kuathirika na saratani ya nyumba ya uzazi. Angelina Jolie, mumewe Brad Pitt wakiwa na watoto wao. Staa huyo maarufu wa Hollywood amelidokezea jarida la New York Times, kuwa alilazimika kutoa viungo hivyo wiki iliyopita katika upasuaji wa dharura....

 

9 years ago

Bongo5

Brazil ilivyopagawa na upasuaji wa kubadili sura (Plastic Surgery)

human-ken-doll-plastic-surgery-rodrigo-alves

Wanaume nchini Brazil wameendelea kwa kasi kubadilisha nyuso zao kwaajili ya urembo au kuonekana na sura nzuri.

human-ken-doll-plastic-surgery-rodrigo-alves

Mtaalam mmoja wa masuala ya upasuaji nchini humo anasema, Kwa nyongeza ni kwamba kumekuwa na idadi kubwa ya vijana wengi wa kiume kufanya upasuaji kwa ajili tu ya urembo. Vijana wengi wamekuwa wakifanya upasuaji wa kuondoa mafuta kwenye matiti wale ambao wana vifua vikubwa, wengine kuondoa mafuta mwilini hasa wale ambao ni wanene na wengine wakifanya upasuaji ili kuweza...

 

9 years ago

Mwananchi

Waandamana kupinga kupunguzwa kazini

Wafanyakazi wa kampuni ya TanzaniteOne wameandamana kupinga uongozi wa kampuni hiyo kutaka kuwapunguza wafanyakazi 635 bila taratibu za kisheria, kwa madai kuwa wanajiendesha kwa hasara na wao kupoteza haki zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama ya kupiga simu kupunguzwa

Watuamiaji wa simu za mkononi nchini Kenya,Rwanda na Uganda hivi karibuni watakuwa wakipiga simu kwa bei nafuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanasoka wa nje kupunguzwa England

Shirikisho la soka nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya.

 

11 years ago

Habarileo

Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa

SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Gharama za kupima ardhi kupunguzwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imesema katika mwaka ujao wa fedha itapunguza gharama za upimaji ardhi kwa zaidi ya nusu ili kuwawezesha wanachi kupima maeneo yao, hali ambayo inaonekana itapunguza migogoro ya ardhi.

 

10 years ago

Habarileo

Kodi katika mishahara ya watumishi kupunguzwa

SERIKALI imesikia kilio cha watumishi wa umma, baada ya kuahidi kupunguza viwango vya makato ya kodi katika mishahara ya watumishi hao kutoka asilimia 12 za sasa hadi kiwango kinachofikia tarakimu moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Talgwu yapinga mafao ya wastaafu kupunguzwa

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kimepinga uamuzi wa Serikali kupunguza mafao ya wastaafu serikalini na kutishia kuchukua hatua za kisheria iwapo utaratibu wa zamani hautarejeshwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani