Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi ‘Kanumba The Great Foundation’ Aprili 7

UZINDUZI wa Taasisi ya Steven Kanumba ijulikanayo kwa jina la ‘Kanumba The Great Foundation’ unatarajiwa kufanyika kwenye Ukumbi maarufu wa Dar Live uliopo Mbagala, jijini Dar es Salaam, Aprili 7, mwaka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"

Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.

Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.

Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...

 

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

11 years ago

GPL

KANUMBA THE GREAT YAKARABATIWA

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kampuni ya marehemu Steven Kanumba, Kanumba The Great Film kudaiwa kufungwa, sasa imekarabatiwa na kuanza kazi upya. Marehemu Steven Kanumba, Kanumba The Great enzi za uhai wake. Mwanahabari wetu alifika kwenye ofisi hizo Jumatano iliyopita ambapo alishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walifanyia usafi vifaa mbalimbali kwa ajili ya kuanza kazi upya. “Tulifunga kwa muda lakini...

 

11 years ago

GPL

MAYA AIKACHA KANUMBA THE GREAT

Stori: Emelder Tarimo NDO basi tena! Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kwa sasa amejikita katika kupiga kazi za nje ya Kampuni ya Kanumba The Great Film hivyo asiulizwe kuhusu kampuni hiyo aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu. Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akichonga na mwanahabari wetu, Maya alitiririka kuwa ameamua kuiweka kando kampuni hiyo na kujikita...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kanumba The Great Films Haijafungwa- Nova

Production Manager wa kampuni ya marehemu Steven Kanumba Kanumba The Great Films Novatus Mayenja ‘Nova’ amefunguka kwa kukanusha kuwa kampuni hiyo imefilisika bali imehamishwa kutoka mitaa ya Sinza na kurudishwa nyumbani mitaa ya Kimara Temboni.

“Kampuni ipo kama kawaida isipokuwa tu, utaratibu umebadilika kwa kuhamisha ofisi kutoka ilipokuwa na kuhamishia nyumbani kwa mama Kanumba na kazi zinaendelea kama kawaida,”anasema Nova.

Nova amedai kuwa tatizo lilikuwa ni kodi kwani kodi imekuwa...

 

11 years ago

GPL

KANUMBA FOUNDATION YAZINDULIWA USIKU WA KUAMKIA LEO DAY DAR LIVE

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizindua rasmi Kanumba Foundation usiku wa kuamkia leo ndani ya Dar Live. ...Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ( TAFF), Simon  Mwakifwamba na Mama Kanumba (katikati) wakionyesha Katiba ya Kanumba…

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana

NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga,  jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree''  kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.

Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani