Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA AUDIO CD "NAHITAJI KITU GANI" YA OLIVER ISRAEL JULAI 20, 2014

Oliver Benson Israel ambaye ni mwanakwaya na sololist wa kwaya ya uinjilisti KKKT kijitonyama kwa kushirikiana na kwaya ya uinjilisti kijtonyama  anatarajia kuzindua CD yake jumapili tarehe 20/07/2014 katika kanisa la lutheran kijitonyama,dada huyu ndiye aliyeimba wimbo wa hakuna mwanaume kama yesu na nyingine nyingi, baada ya uzinduzi ibadani mchana kutakuwa na tamasha kubwa la kumwimbia mungu karibuni sana!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Je, ni ulemavu wa fikra au kitu gani?

Nikitafakari kuhusu vurugu za kidini hapa Tanzania na matukio mengine kama kutumia fedha kununua kura, mjadala wa kutumia Kiswahili au kutumia lugha za kigeni, fedha zilizofichwa nje ya nchi, watoto wa vigogo kupatiwa kazi bila kuwa na sifa.

 

10 years ago

GPL

KAMA UMEMPENDA KWELI, WATOTO WAKE KITU GANI?

MAPENZI ni kitu cha ajabu sana. Ni hisia ambazo huibuka zilipojificha na huja zikiwa na nguvu ya hatari na kubwa mno tena ya ajabu. Hisia zisizokubali kupingwa kwa kile ambacho zimeamua. Hisia zisizokubali kurudi nyuma bali kwenda mbele katika kuhakikisha zinatimiza kusudio la kumpata ziliyedhamiria. Hisia zisizokuwa na macho zaidi ya macho kufunikwa na upofu, hisia zisizoweza kuchagua kama ziliyempenda ni mtu mwenye mtoto au...

 

10 years ago

Mwananchi

Chumvi ikipoteza ladha yake itakolezwa na kitu gani?

Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu na CCM inajiandaa kuteua mmoja kati ya wagombea wa urais waliojitokeza na watakaojitokeza. Naomba kukopa maneno yafuatayo ya Yesu:

 

10 years ago

Vijimambo

Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '

William Malecela Aka Lemutuz Ametangaza kuhitaji Mke katika Page yake ya Instagram huku akiomba watu wamuombee apate Bonge la Wife. lemutuz alipost picha akionyesha kitanda kikiwa hakija tandikwa na kuandika maneno haya hapa chini kama caption ya picha hiyo:"kwa kweli nahitaji WIFE baby U know nahitaji bonge la mke hahahah people niombeeni basi nipate Le Wife U know this is not good yaani mpaka aje mfanyakazi je ukitokea moto hapa watu wakaingia wanakuta bed iko kwenye this mess U know...

 

10 years ago

Bongo Movies

UCHOKOZI: Kitu Gani Mnapenda Kwenye Mwili Wanguuu? Uwoya Anauliza

Mrembo na mwigizaji  Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....

Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi...

 

10 years ago

Bongo5

Zari: ‘Mkanda wa ngono kitu gani’ afurahia likizo na wanae (Picha)

Kuvuja kwa mkanda wake wa ngono hakujamzuia Zari ‘the Bosslady’ Tlale kufurahia muda bora na wanae wakati huu wa likizo za sikukuu za Christmass. Zari mwenye watoto watatu, ameonesha kutoyumbishwa na kusambaa kwa mkanda huo na leo amepost picha akiwa na wanae wakifurahia chakula pamoja. “Current situation…… school is closed most offices are closed, time […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAMBO HALISI: Mchungaji Gauck unajishusha umepungukiwa kitu gani, tujifunze kwako

>Ninasema ni jambo ambalo lisingeweza kufanywa na viongozi wetu wengi wa Afrika. Ni ajabu, lakini imetokea hapa  hapaTanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Tekno anajua kitu gani kilichomuuma ndio maana anajishtukia — Agnes Masogange ajibu

Video vixen wa Bongo, Agnes Masogange ameonesha kupingana na kauli ya msanii wa Nigeria, Tekno Miles ambaye amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano naye. Drama ya Agnes mshepu na hit maker wa ‘Duro’ imeibuka baada ya Tekno kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kupitia kipindi cha ‘Ala Za Roho’, ambapo alikanusha kabisa kuwahi kuwa […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video/Audio: Chaba – Chie! Kwani Ni Gani?

index

Video mpya ya rapper Chaba wa Arachuga ya ngoma yake ‘Chie! Kwani Ni Gani?’ iliyoongozwa na Inno Mafuru.

Unaweza kudownload wimbo huo pia hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani