Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa adai bila Jux asingeweza kufanya video ‘Never Ever’

Vanessa Mdee amesema mpenzi wake Jux amefanya kazi kubwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wake mpya, ‘Never Ever’. Vanessa alikiambia kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV hivi karibuni kuwa yeye na Jux wanashirikiana katika vitu vingi ingawa mpenzi wake huyo yupo nje kimasomo kwa sasa. “Yupo China anasoma, lakini tupo poa kabisa,” […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Jux adai hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa

Mwimbaji wa muziki wa R&B, Jux amesema hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa kwa kuogopa kuwachanganya mashabiki wake. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Jux alisema akipanda kwenye majukwaa ya siasa itakuwa ni kama anawashinikiza mashabiki wake kuchagua viongozi wasiowataka. “Watanzania tulivyo, mimi kama kuna mtu ananipenda mpaka akaamua kuchora Jux au […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee hujiskiaje akimuona Jux ‘akimbusu’ msichana mwingine kwenye video? Hili ndio jibu lake!

12230886_926044967480796_2021833105_n

Ukiwa girlfriend wa mwanamuziki inabidi uliondoe neno ‘wivu’ kwenye kamusi yako kichwani!

12230886_926044967480796_2021833105_n

Ni kwasababu bila hivyo utaishia kuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Jux ana bahati ya kuwa na girlfriend anayeelewa kuwa muziki ni kazi na wakati mwingine unatakiwa kufanya kile mtu wa kawaida hawezi kufanya.

Vanessa Mdee amepost picha ya Jux ya kile kinachoonekana kama video yake ijayo na wimbo ‘One More Night’ na kuandika sentesi inayomaanisha kuwa pale mpenzi wake anapoonesha kuwapenda wasichana...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje

_K0A1374Belle 9 anadhani Tanzania ina waongozaji wakali na location za kuvutia kufanya video za muziki kiasi ambacho haoni sababu ya kusafiri kwenda kufanya video zake nje ya nchi.  Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ hivi karibuni, amesema uwezo wa waongozaji wa Tanzania akiwemo Hanscana unatosha kabisa kumpa video yenye ubora. Amesema kama […]

 

10 years ago

GPL

VANESSA, JUX YADAIWA NI WAPENZI

Stori: Musa Mateja aliyekuwa Tanga
MBONGO-Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanadaiwa kuwa ni wapenzi, Risasi Jumatano limeinyaka. Juma Mussa ‘Jux’ akiwa na Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanaodaiwa kuwa ni awapenzi. Madai ya wawili hao kuhusishwa kimapenzi yameendelea...

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video

Rapper Kala Jeremiah amesema kuwa nyimbo anazofanya haziitaji kusafiri kwenda nje ili kufanya video. Kala ameiambia Bongo5 kuwa, nyimbo zake zinazungumzia matatizo ya kijamii hivyo zinahitaji mazingira ya nyumbani. “Sifikirii kwenda nje,” amesema. “Unajua aina ya nyimbo ninazofanya – Kala Jeremiah anafanya nyimbo zinazowahusu watanzania zaidi, zinahitaji location za kitanzania na uhalisia wa kitanzania. Unajikuta […]

 

9 years ago

Mtanzania

Vanessa, Jux kutoka pamoja muda ukifika

Jux - Nikuite Nani videoNA HERIETH  FAUSTINE

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V Money’ na Juma Jux ‘Jux’, wamesema baada ya kila mmoja kukamilisha kazi zake ndipo watatoa nyimbo zao za ushirikiano ambazo wamesharekodi.

Aliongeza kwamba, kutokana na kila mmoja kuwa na kazi zake nyingi, hawataweza kufanya kazi ya pamoja hadi kila mmoja atakapomaliza, maana wazo hilo walikuwa nalo muda mrefu na wameshalifanyia kazi, ingawa hawataki kuzitoa kwa sasa.

“Tumeshafanya nyimbo za pamoja nyingi, lakini hatutatoa...

 

10 years ago

GPL

JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA

STORI: WAANDISHI WETU/Mchanganyiko BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati walikutwa katika mkao wa kimahaba kiasi cha kuwafanya mashabiki kujiuliza kama mkali huyo wa kibao cha Uzuri wako anaweza kuendelea kubisha. Wabongo Fleva Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ wakila...

 

9 years ago

Bongo5

Lulu autamani uhusiano wa Vanessa Mdee na Jux

wpid-10903372_860878923952023_314361227_n

Kwa mujibu wa Lulu, Vanessa Mdee na Jux ni couple bora zaidi – of course baada ya kwake mwenyewe isiyojulikana hadi sasa.

wpid-10903372_860878923952023_314361227_n

“You can’t stop loving short girls,” ameandika Lulu kwenye Instagram.

“Ukiona nakudanganya kamuulize anko Will Smith, 20 years kakwama kwa aunty jada. Fave couple….ikitoka yangu tu hii ndo inafata. Kuna mijitu itapanic basi, sasa unataka nikupende wewe na mtu wako wakati hamueleweki!

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani