Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa atema ndoa

MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini, Maria Joseph ‘Vanessa’ amevunja ndoa yake na kudai talaka baada ya kuchoshwa na tabia isiyoridhisha ya mumewe aliyemtaja kwa jina moja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK atema mawaziri 60

Panga pangua ya saba ya Baraza la Mawaziri iliyofanyika juzi imefikisha mawaziri 61 waliotemwa, kujiuzulu au kufariki dunia tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani mwaka 2005, huku mawaziri 16 wakihimili mawimbi hayo hadi sasa.

 

10 years ago

Mtanzania

JK atema wakuu wa wilaya 19

Rais Jakaya KikweteNa Debora Sanja, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kuwateua wapya 27, huku akiwahamisha 64 katika vituo vyao na wengine 42 amewabakisha katika maeneo yao ya zamani.
Akitangaza mabadiliko hayo jana mjini hapa, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwapo kwa nafasi 27 zilizokuwa wazi kutokana na wakuu wake wa wilaya watatu kufariki dunia na wengine kupandishwa vyeo kuwa wakuu wa mikoa.
“Wakuu wa wilaya 27 wameteuliwa kuziba...

 

10 years ago

Mwananchi

Frank atema nyongo

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

 

11 years ago

Habarileo

Membe atema cheche

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametema cheche akitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba, lakini akawashushia lawama waandishi wa habari nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

IGP atema cheche

Baada ya kuapishwa jana kuwa Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu amesema ataanza kazi yake kwa kupambana na uhalifu wa aina zote pamoja na ajali za barabarani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakyembe atema 13 uwanja wa ndege

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameamuru watumishi 13 kuondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuanzia jana saa 6:00 mchana kutokana na tuhuma mbalimbali, hasa za usumbufu wa wasafiri kutoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

JK atema wengine watano, wapya ni 10

Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambayo yamewatupa nje mawaziri watano, kuwaingiza 10 wapya, kuwapandisha manaibu wanne kuwa mawaziri kamili na kuwahamisha wengine wanane kutoka wizara zao kwenda nyingine.

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge wa zamani atema nyongo

MBUNGE wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyepitishwa na chama hicho tawala kuwania katika uchaguzi mkuu ujao, akidai ushindi huo alioupata ni wa mizegwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Mmiliki wa IPTL atema cheche

Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la, baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani