JK atema mawaziri 60
Panga pangua ya saba ya Baraza la Mawaziri iliyofanyika juzi imefikisha mawaziri 61 waliotemwa, kujiuzulu au kufariki dunia tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani mwaka 2005, huku mawaziri 16 wakihimili mawimbi hayo hadi sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi11 years ago
Habarileo17 Feb
Membe atema cheche
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametema cheche akitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba, lakini akawashushia lawama waandishi wa habari nchini.
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Frank atema nyongo
10 years ago
Mtanzania19 Feb
JK atema wakuu wa wilaya 19
Na Debora Sanja, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kuwateua wapya 27, huku akiwahamisha 64 katika vituo vyao na wengine 42 amewabakisha katika maeneo yao ya zamani.
Akitangaza mabadiliko hayo jana mjini hapa, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwapo kwa nafasi 27 zilizokuwa wazi kutokana na wakuu wake wa wilaya watatu kufariki dunia na wengine kupandishwa vyeo kuwa wakuu wa mikoa.
“Wakuu wa wilaya 27 wameteuliwa kuziba...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
IGP atema cheche
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Vanessa atema ndoa
MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini, Maria Joseph ‘Vanessa’ amevunja ndoa yake na kudai talaka baada ya kuchoshwa na tabia isiyoridhisha ya mumewe aliyemtaja kwa jina moja...
11 years ago
GPLUHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Balozi Sefue atema cheche
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...