Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee ana boyfriend Mkenya? Sauti Sol wamuita shemeji!

Kwa muda mrefu Vanessa Mdee amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Jux, hali ambayo imefanya hadi sasa kutojulikana mwanaume aliye sehemu ya maisha ya hitmaker huyo wa ‘Come Over’. Hata hivyo huenda Sauti Sol wakawa wametupa hint ya nani ayeisikia sauti tamu ya Vee Money kwa ukaribu zaidi maskioni mwake. Our #WCW has […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Sauti Sol waeleza kwanini hawajaweka collabo walizorekodi na Alikiba, Vanessa Mdee na Joh Makini kwenye album yao mpya

Sauti-Sols-Album-Cover

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wiki hii wametoa cover pamoja na orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yao mpya, ‘Live And Die In Afrika’ itakayozinduliwa kwa vyombo vya habari Ijumaa ya Novemba 20.

Sauti-Sols-Album-Cover

Baada ya mimi binafsi kuiona ‘tracklist’ ya album hiyo yenye nyimbo 15, nilipata maswali kuhusu kwanini hawajaweka nyimbo walizowashirikisha wasanii wa Tanzania kwenye album yao.

sauti tracklist

Katika mahojiano waliyofanya na kipindi cha Mseto cha Radio Citizen na Willy M.Tuva mwezi August, 2015,...

 

10 years ago

Bongo5

Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke

Jux amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Vanessa Mdee na kudai kuwa Vanessa ni mshikaji wake tu lakini amekiri kuwa muimbaji huyo wa ‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa mke. Jux ambaye hivi karibuni alionekana kuwa karibu na Vanessa amesema Vanessa ni mtu wake wa karibu anayefanya kazi naye. “No ni […]

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Wajua kuwa Vanessa Mdee ana dada aliyekuwa mtangazaji maarufu wa TV na redio Kenya?

Wazungu wanasema it runs in the family! Wengi wanaweza wasiwe wanafahamu kuwa Vanessa Mdee ana dada yake aitwaye Nancy ‘Namtero’ Mdee aka Tero aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Str8 Up cha KTN ya Kenya. Tero Hata hivyo Tero ameachana na fani hiyo baada ya kuolewa na mchungaji Hebron Kisamo wa Calvary Temple Church jijini […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Sauti Sol – Relax

relax

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Mwananchi

AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!

Tasnia ya muziki Afrika Mashariki kwa namna moja au nyingine imeonekana kupiga hatua, huku wasanii wenyewe wakiendelea kuzitangaza nchi zao kimataifa.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Sauti Sol — Sura Yako

Huu ni Wimbo mpya wa Sauti Sol wasanii kutoka Kenya baada ya kuachia video ya wimbo huu sikiliza audio hapa wimbo unaitwa “Sura Yako”

 

9 years ago

Mtanzania

Sauti Sol kutafuta wachumba Tanzania

SAUTI-SOLNairobi, Kenya

KUNDI linalofanya vizuri na wimbo wao wa ‘Nerea’ kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, limetangaza kutafuta wachumba wa kuoa nchini Tanzania, huku wakiwaomba radhi wasichana wa Kenya.

“Samahani kwa wasichana wa nchini Kenya kutokana na maamuzi yetu ya kutaka kuoa huku Tanzania. Dar es Salaam? Kwa sasa tunatafuta warembo wa kuwaoa,” waliandika wasanii hao kupitia akauti yao ya Twitter.

Wasanii hao kwa sasa wanafanya vizuri nchini humo na wamefanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali nje ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani