VANITHA: VIFO VIMENITOA FUNGATE
![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg9edwkaZ8mzamOYgUE9**CRS*dWFxxIsTg7o4c12LzbPSQ6Y1*rcC*GBrC-ulaxoU6lAgb5wWgzSb6zX0acxQhH/vanita.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata MSANII Vanitha Omary aliyeolewa hivi karibuni, amesema vifo vya mfululizo vya wasanii wenzake vimemlazimu kuondoka katika fungate ili ashirikiane na wenzake katika shughuli za misiba. Vanitha aliyefunga ndoa siku moja kabla ya kifo cha msanii Recho Haule, alisema marehemu huyo alikuwa ni mtu wake wa karibu hivyo akalazimika kufuta mapumziko hayo ya baada ya ndoa. “Tangu niolewe balaa juu ya balaa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm-uVdkVYKjU2RtvsA3956H3EdYEdAXjUWhnwb2RojYxyutt7mKJWKdJSb7C0gv9qWpUq5rMLQm9IKgPYEcFQvFT/THEA.jpg)
VANITHA, THEA WACHAMBANA MSIBANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DfmcpkdG9SXX6*c5nLRkLZGXyixE0lBeCElXKfYA2jntaHOi3SqFIxL4ourNiiSd9Y66BPJn31mFfSAlMR*kPfC/Vanita.jpg)
MUME WANGU SIKUMUIBA KWA RAFIKI YANGU- VANITHA
10 years ago
Habarileo25 Nov
Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate
SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Korti yatupilia mbali kesi ya 'fungate'
9 years ago
BBCSwahili24 Oct
Wapenzi wafa maji wakiwa fungate
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Covid-19 ilivyowalazimisha kuendelea na fungate isiyoisha
11 years ago
CloudsFM12 Jun
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?