Wapenzi wafa maji wakiwa fungate
Mke na mume wamepoteza maisha baada ya kuzama baharini nchini Afrika kusini
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM12 Jun
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Wawili wafa maji Dar
MWANAFUNZI wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Galanos, mkoani Tanga, Abdulrazaki Mziray (19), amekufa maji wakati akiogelea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo...
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mamia ya wahamiaji wafa maji
Mamia ya wahamiaji wamekufa maji wakati wakijaribu kuelekea nchini Italia kupitia Bahari ya Meditarian.
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Wahamiaji 70 wafa maji Yemen.
Watu 70 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imejaza wahamiaji haramu kupinduka baharini magharibi mwa Yemen.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Watatu wafa maji Kigoma, 20 hawajulikani
Watu watatu wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 hawajulikani walipo baada ya boti ya abiria iliyokuwa imebeba harusi kutoka Kibirizi kwenda Kijiji cha Kigalye mkoani Kigoma kuzama katika Ziwa Tanganyika.
11 years ago
BBCSwahili20 Apr
13 zaidi wafa maji korea kusini
Wapiga mbizi wanaowatafuta manusura katika mabaki ya ferry iliozama nchni korea kusini wamefanikiwa kupata miili 13 zaidi.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Wahamiaji 17 wafa maji wakielekea Uturuki
Wahamiaji 17 wamekufa maji baharini muda mfupi baada yao kutoka Uturuki wakielekea Ugiriki.
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Takriban Watu 24 wafa maji Uturuki
Takriban wahamiaji 24 wamekufa maji baada ya Boti waliokua wakisafiria kuzama baharini nchini Uturuki
11 years ago
Habarileo29 Mar
Wanne wasombwa na maji ya mvua, wafa
WATU wanne wamekufa na miili yao kukutwa ikielea kwenye maji katika kata ya Nyangao wilayani Lindi mkoani humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania