Veteran radio journalist Ben Kiko is dead
>Veteran journalist and one of Tanzania’s most distinguished radio journalists, Ben Hamisi Kikoromo, has died.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen29 Jun
Veteran journalist Ng’wanakilala dies
11 years ago
Vijimambo
BEN KIKO HATUNE TENA

Mwandishi huyo mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani Tabora ambako alilazwa kwa ajili ya matibabu ya figo kwa muda wa wiki...
11 years ago
GPL
MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
11 years ago
Dewji Blog31 Oct
Rais Kikwete aomboleza kifo cha mzee Ben Kiko
Marehemu mzee Ben Hamis Kikoromo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenela Mukangara kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mtangazaji na Mwandishi Mkongwe na Mahiri hapa nchini wa iliyokuwa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ambayo kwa sasa ni TBC Taifa, Ben Hamis Kikoromo maarufu kama Ben Kiko.
Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 31 Oktoba, 2014...
11 years ago
CloudsFM31 Oct
MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR
ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu
11 years ago
Michuzi
News Alert: mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia

MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko ambaye jina lake kamili ni Ben Hamisi Kikoromo alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani...
10 years ago
BBC20 Aug
South Sudan journalist shot dead
10 years ago
MichuziBUKOBA VETERAN KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI KESHO JUMAMOSI 17.10.2015 NA BUSWELU VETERAN