BEN KIKO HATUNE TENA

Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) ambayo sasa ni TBC Taifa, Ben Hamis Kikoromo au maarufu Ben Kiko (pichani) amefariki duania.
Mwandishi huyo mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani Tabora ambako alilazwa kwa ajili ya matibabu ya figo kwa muda wa wiki...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
11 years ago
TheCitizen02 Nov
Veteran radio journalist Ben Kiko is dead
11 years ago
Dewji Blog31 Oct
Rais Kikwete aomboleza kifo cha mzee Ben Kiko
Marehemu mzee Ben Hamis Kikoromo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenela Mukangara kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mtangazaji na Mwandishi Mkongwe na Mahiri hapa nchini wa iliyokuwa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ambayo kwa sasa ni TBC Taifa, Ben Hamis Kikoromo maarufu kama Ben Kiko.
Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 31 Oktoba, 2014...
11 years ago
Michuzi
News Alert: mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia

MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko ambaye jina lake kamili ni Ben Hamisi Kikoromo alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani...
11 years ago
CloudsFM31 Oct
MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR
ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu
9 years ago
Bongo509 Nov
Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.
Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.
Ben Pol na Patoranking
Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...
10 years ago
Michuzi02 Apr
FLAVIANA MATATA ATANGAZA VIPODOZI VYA KIKO

11 years ago
Habarileo01 Nov
Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia
ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.