Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vichinjio’ vinavyobeba uhalali, haki

Wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Oktoba 25, ukiwa   ni wa tano tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992, safari hii Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imetoa vitambulisho vya mpiga kura vyenye alama za utambulisho za kibaiolojia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Juma Duni: JK hana uhalali

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Juma Haji Duni, amesema Rais Jakaya Kikwete alichaguliwa na watu wasiozidi milioni sita, hivyo hana uhalali wa kuongoza watu zaidi ya milioni 45. Duni,...

 

10 years ago

Raia Mwema

Uko wapi uhalali wa Ukawa?

KUFUNGASHA virago kwa Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richm

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Uko wapi uhalali wa chaguzi zetu nchini?

Katika toleo la jana la gazeti hili, tuliandika kwa kirefu kuhusu suala la upigaji kura katika nchi yetu na kuhoji sababu za wananchi wengi kutojitokezi kupiga kura.

 

10 years ago

Bongo5

Taarifa: Uhalali na uwazi wa kura za Tuzo za Watu

Tungependa kutoa taarifa kuelezea baadhi ya duku duku zilizojitokeza miongoni mwa wananchi kuhusiana na uhalali wa majina yaliyoingia kwenye tano bora ya tuzo za watu kutokana na mapendekezo ya wananchi. Baadhi ya wananchi wamekuwa wakionesha wasiwasi kuhusiana na majina yaliyoingia kwenye tano bora kwa kuona kuwa baadhi ya majina waliyoamini yalitakiwa kuingia hayamo. Tunapenda kuwahakikishia […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi ndio wenye uhalali wa katiba mpya

KWA muda mrefu baadhi yetu tulikuwa tukipaza sauti zetu kulilia katiba mpya ambayo tunaamini itasaidia kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoonekana hivi sasa, hasa kutokana na tuliyonayo imedumu kwa kipindi...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM Kama Babeli, imepoteza sifa na uhalali wa kutawala

KATI ya mwaka 605- 539 Kabla ya kuzaliwa Kristo (KK) na baada ya baada ya gharika, jambo muhimu l

Fred Mpendazoe

 

10 years ago

Mwananchi

Uko wapi uhalali wa kupambana na machinga bila wateja?

Kwa muda mrefu sasa katika maeneo tofauti nchini hasa mijini kumekuwa na mvutano kati ya wafanyabiashara na mgambo wa miji.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa

Zikiwa zimebaki wiki mbili kuanza vikao vyake, baadhi ya wanasheria wamehoji uhalali wa Bunge hilo kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba bila ya kuwapo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Habarileo

Mawakili wa Gwajima wataka uhalali wa kupeleka nyaraka Polisi

Josephat GwajimaMAWAKILI wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani