Video: Kleyah Ft. Barnaba – Msobe Msobe
Video mpya ya msanii kutoka Uganda ambaye kwasasa anaishi hapa Tanzania anaitwa Kleyah wimbo unaitwa “Msobe Msobe” amemshirikisha Barnaba. Video imeongozwa na Hanscana.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Nov
Music: Kleyah Ft Barnaba Classic — Msobe Msobe
![Msobe Msobe Cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Msobe-Msobe-Cover-300x194.jpg)
Anajulikana kwa jina Kleyah ambaye hivi karibuni aliweza kufika kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwana msanii mahiri kweye medani ya muziki Bongo Fleva Barnaba Classic.
Ngoma yake mpya inakwenda kwa jina la “Msobe msobe” ukiwa imeandaliwa na best song writer wa hapa nchini Barnaba pamoja na kushirikiana nae, Katika Studio za High Table Sound.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/o6R_K6uZuyI/default.jpg)
Kleyah aachia video ya Msobe Msobe
Mwanamuziki wa Muziki wa kizazi kipya Maarufu kama bongo fleva KLEYAH ambaye anakuja kwa kasi katika Tasnia hiyo hatimaye amezindua nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la MZOBE MZOBE wimbo aliomshirikisha msanii maarufu maarufu kutoka THT Barnaba Boy CLASSIC nyimbo ambayo inatabiriwa kufanya vizuri katika soko la musiki wa Tanzania.KLEYAH ambaye ni Mhitimu wa shahada ya mawasiliano kutoka chuo kikuu cha cha Phoenix nchini marekani na baadae kufanya kazi katika shirika la kimataifa la...
9 years ago
Bongo503 Nov
Barnaba afanya kazi na msanii mwingine wa Uganda, ‘Kleyah’
![Teaser-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Teaser-1-94x94.jpg)
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Barnaba: Video ya ‘Nakutunza’ itachelewa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa Bongo Fleva, Elius Barnabas ‘Barnaba’ amesema video ya wimbo wa ‘Nakutunza’ aliomshirikisha nyota kutoka Uganda, Jose Chameleone, itachelewa kutoka kwa sababu ya staa huyo wa Uganda kuzongwa na kazi nyingi.
“Chameleone amebanwa na kazi zake atakapokuwa tayari ndiyo tutafanya video, nafikiri nitafanya nje ya nchi kwa sababu wimbo ni mkubwa na nataka unitangaze vema kimataifa, sitaki kukurupuka, ndiyo maana katika wimbo uliowahi kuumiza kichwa changu ni huu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/O58YKdwihH4/default.jpg)
9 years ago
Bongo527 Oct
Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’
10 years ago
GPL21 Jan
10 years ago
Dewji Blog22 Jan