Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kleyah aachia video ya Msobe Msobe


Mwanamuziki wa Muziki wa kizazi kipya  Maarufu  kama bongo fleva KLEYAH ambaye anakuja kwa kasi katika Tasnia hiyo  hatimaye amezindua nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la MZOBE MZOBE wimbo aliomshirikisha msanii maarufu  maarufu kutoka THT Barnaba Boy CLASSIC nyimbo ambayo inatabiriwa kufanya vizuri katika soko la musiki wa Tanzania.

KLEYAH ambaye ni Mhitimu wa shahada ya mawasiliano kutoka chuo kikuu cha cha Phoenix nchini marekani na baadae kufanya kazi katika shirika la kimataifa la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Kleyah Ft. Barnaba – Msobe Msobe

10957391_160702830949285_786640396_n

Video mpya ya msanii kutoka Uganda ambaye kwasasa anaishi hapa Tanzania anaitwa Kleyah wimbo unaitwa “Msobe Msobe” amemshirikisha Barnaba. Video imeongozwa na Hanscana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kleyah Ft Barnaba Classic — Msobe Msobe

Msobe Msobe Cover

Anajulikana kwa jina Kleyah ambaye hivi karibuni aliweza kufika kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwana msanii mahiri kweye medani ya muziki Bongo Fleva Barnaba Classic.
Ngoma yake mpya inakwenda kwa jina la “Msobe msobe” ukiwa imeandaliwa na best song writer wa hapa nchini Barnaba pamoja na kushirikiana nae, Katika Studio za High Table Sound.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’

avril

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril

Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina

Rapper anayeiwakilisha Afrika Mashariki, Octoppizo kutoka Kenya ameachia rasmi video ya wimbo wake uliovuja mwaka jana “This Could Be Us”, ambao amemshirikisha mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, August Alsina. Habari mbaya kwa mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona August Alsina katika video hii ni kuwa, kwa bahati mbaya mtaisikia sauti yake tu kwasababu hajaonekana katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Msanii wa Nigeria Skiibii aliyetumia ‘stunt’ ya kifo aachia video mpya

Kama lile tukio la kuzushiwa/kujizushia kifo kwa msanii anayeibukia wa Nigeria, Skiibii ilikuwa ni ‘publicity stunt’, (Ingia Hapa) basi itakuwa imefanya kazi kwa kiasi fulani, kwasababu bila hivyo huenda muda huu hata mimi nisingekuwa naandika juu ya video yake mpya sababu kabla ya hapo sikuwa namfahamu. Siku chache baada ya msanii huyo wa label ya […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz

Mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Victoria ambaye pia yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na […]

 

11 years ago

Bongo5

New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya

Hit maker wa ‘Kwaajili yako’ Hussein Rashid aka Hussein Machozi ameachia video na wimbo mpya ikiwa ni zaidi ya wiki moja imepita toka atawale vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari vya Kenya na baadae kuhamia Tanzania. Habari hizo zilizomuhusu nyota huyo ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya zilidai kuwa alifumaniwa na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Flavour aachia video mpya ‘Wiser’

Staa wa wa Nigeria, Flavour ameachia video mpya ya wimbo aliowashirikisha M.I. na Phyno. Video ya wimbo huo ‘Wiser’ imeongozwa na director wa Nigeria, Clarence Peters. Wasanii wengi wa Nigeria wanatoa nyimbo na video kwa muda mfupi sana, huenda hii ikawa ni moja ya sababu inayowafanya waendelee kufanya vizuri, Ni mwezi mmoja tu umepita toka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani