Video: Nonini ft. Collo — Mchezo na Ganji
Hatimaye Nonini ameachia video ya collabo yake na Collo ‘Mchezo na Ganji’, ambayo audio yake ilitoka mwezi uliopita. Katika video hii ameonekana pia mwimbaji Avril wa Kenya kwenye Intro. Wimbo umetayarishwa na Dillie wa Johari Cleft Studios, na video imeongozwa na Willie Wusu. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Oct
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku
10 years ago
Bongo504 Nov
Video: Nonini Ft Chege & Dj Pierra – Wanajishuku

Kenyan rap legend also known as Nonini MgengeTrue has been on a roll this Month. Barely a few weeks after he released Mchezo Na Ganji yet another Brand new Video dubbed “WANAJISHUKU” is here.
“Wanajishuku” his latest track features TMK Wanaume’s Chege and Kenya’s number one deejay DJ Pierra Mackena. “Wanajishuku” is Nonini’s second collaboration with a Tanzanian artist Chege after Kila Mmoja became a massive success in East Africa. The chemistry between the two East African Artists is...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Afariki akicheza mchezo wa video
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Video:Je unafahamu mchezo wa raga
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Nonini asaidia albino
NA BADI MCHOMOLO
MKALI wa wimbo wa ‘Wanajishuku’ aliomshirikisha Dj Pierra Makena na Chege kutoka Tanzania, Hubert Nakitare ‘Nonini’ wa Kenya, ametumia kiasi kikubwa cha fedha zake kununua nguo na miwani kwa ajili ya kuwasaidia albino.
Hata hivyo, msanii huyo amewataka wasanii wenzake na watu maarufu wajitokeze kuwasaidia walemavu badala ya kutumia fedha zao katika matukio ya ulevi na anasa nyingine.
“Watu maarufu wanatakiwa wajitolee kwa jamii zao, wakiwemo walemavu, si kutumia fedha zao...
10 years ago
Bongo526 Jan
New Music: Nonini Ft Didge — Tudunde
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Paul Makonda kaushtukia huu mchezo wa ufisadi Kinondoni, maamuzi yake je?…(+Video)
Kasi ya Rais John Pombe Magufuli kuhakikisha kila mtu anafanya kazi kwa uadilifu imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa sekta mbalimbali, na leo Dec 17 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Dc Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia maamuzi aliyo yafanya kwa wakandarasi waliotaka kutumia vibaya fedha za umma. […]
The post Paul Makonda kaushtukia huu mchezo wa ufisadi Kinondoni, maamuzi yake je?…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo
Brand New Single Nonini ft Chege -KukaChora
Nyimbo yenyewe inazungumza na jamii sana sana vijana kueza kuwaelimisha kuhusu kupanga au kuPlan maisha vizuri kwa ufupi Kukachora.
People sometimes take you for granted with steps you make...
10 years ago
Bongo529 Dec
New Music: Weusi f/ Navio, Naziz, Collo & Rabbit – Gere (East African Remix)