Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO YA D KNOB - NISHIKE MKONO FT. MWASITI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Mwasiti awataka wasanii kuacha kufuata mkumbo kufanya video nje

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Mwasiti Almas amewataka wasanii kuacha kufuata mkumbo wa kwenda kufanya video nje wakati bado hawajajipanga jinsi ya kufanya mwendelezo.

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Akizungumza na Bongo5 leo, Mwasiti amesema wasanii wanatakiwa kujiangalia mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi hayo.

“Kwanza kabisa tusifuate mkumbo, tusifuate mkumbo kwa sababu fulani na fulani wamefanya video Afrika Kusini na wewe au wote tukafanye video Afrika Kusini,” amesema.

“Kwanza lazima ujiangalie kama kweli huo ni wakati wako. Hata mimi...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: D Knob — Njaa ya Mkwanja

Baada ya Nishike Mkono D Knob ameachia ngoma hii Mpya inaitwa “Njaa ya Mkwanja” ngoma imefanyika katika Studio za Mwana Lizombe Records

 

10 years ago

Bongo5

Video: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, & Shaa – Piga Chata

Video mpya ya wimbo maalum kwa vijana wa Tanzania; tushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kura yetu ndio sauti na nguvu yetu. “Piga Chata” Video Directed by Hanscana Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali […]

 

10 years ago

Michuzi

KUELEKEA JEMBEKA FESTIVAL JJ BAND WAACHIA NGOMA MPYA 'NISHIKE'

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, ile band ambayo kwa walio mbali basi walikuwa wakisikia simulizi zake toka kwa wenyeji kwamba inafumua burudani ya kijanja ile kisawasawa toka kiota chenye hadhi ya kitalii Jembe Beach Resort Mwanza, JJ Band ndiyo ninao wazungumzia, basi wamekuja na single yao ya kwanza mpya inayoitwa 'NISHIKE'
Kazi imefanyika ndani ya studio za One Love FX zilizoko Ilemela jijini Mwanza, chini ya mkono wa mtayarishaji mkali Tiddy Hotter, yule aliye tengeneza ngoma kama...

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.

Adam Jumaa

Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.

“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani