Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDONGE VYA KUTOA MIMBA VYAZAGAA DAR

Na Waandishi wetu/Risasi
Hali inatisha! Vidonge vinavyodaiwa ni vya kutoa mimba vimezagaa kwenye maduka ya madawa baridi ‘famasi’ jijini Dar na kuuzwa kinyume cha sheria iliyowekwa na wahusika kwa kuwa hairuhusiwi kuuziwa dawa hizo pasipokuwa na kibali cha daktari. Wauzaji wa moja ya duka la dawa linalouza dawa za kutolea mimba. Kikosi chetu cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kiliingia kazini kuzisaka famasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ipo haja ya kutumia vidonge vya vitamin D?

Baadhi ya watu huenda wakaamua kutumia virutubisho vya vitamin D wakati wa janga la corona. Hii hapa sababu.

 

11 years ago

GPL

IJUE ASILI YA VIDONGE VYA LISHE

WENGI wetu tungependa kujua historia ya vidonge vya lishe au lishetiba au Food Supplement kama inavyojulikana kitaalamu na nani aliyeanzisha utaratibu huu duniani wa kukigeuza kidonge kuwa chakula. Kabla ya mwaka 1934 hakukuwepo lishetiba ya aina yoyote duniani kitu ambacho kiliwafanya watu wa enzi hizo wapate wakati mgumu lilipokuja suala la kuboresha afya zao pale palipokuwa na upungufu wa virutubisho mwilini. Mwaka 1934...

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO KUTOA MIMBA

Stori: Waandishi Wetu/Risasi Mchanganyiko
KITENDO cha mwimbaji nyota wa muziki wa Injili, Rose Muhando (pichani) kudaiwa kutoa mimba yenye umri wa miezi saba, endapo kitathibitishwa na mamlaka zinazohusika, kinaweza kusababisha kupewa adhabu ya kifungo cha miaka 7 jela, Risasi Jumatano lina mkanda kamili. Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili, Rose Muhando akiimba wakati akiwa mjamzito. Mwishoni mwa wiki iliyopita, ilidaiwa kuwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Madhara sita ya kutoa mimba

01Leo tuzungumzie madhara sita ya kutoa mimba na madhara yake kama tutakavyoona hapa leo.

UNAWEZA KUPOTEZA UHAI
Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli kwamba mara nyingi ndani ya wiki moja baada ya kutoa mimba mwanamke anaweza kuvuja damu sana, au kupata madhara ya dawa za usingizi, mabonge ya damu kwenye mishipa ya damu na mimba iliyotunga nje ya uzazi.

WATOTO KULEMAA UBONGO
Utoaji wa mimba huaribu mlango wa mfuko wa uzazi kushindwa kushika vizuri na matokeo yake mwanamke...

 

5 years ago

BBCSwahili

'Ninajuta kutoa mimba 5 kwa makusudi'

Martha Anne Bwore mwanaharakati anayepinga uavyaji mimba nchini Kenya azungumzia hofu na mahangaiko aliyoyapitia yeye na wasichana wengine.

 

10 years ago

GPL

MSANII ADAI KUTOA MIMBA YA ALI KIBA

Andrew Carlos
DUNIA IMEKWISHA! Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amedai licha ya kutembea na wasanii wengi, aliwahi kupata ujauzito wa mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba lakini kwa bahati mbaya, ikatoka, Risasi Mchanganyiko lina ‘full details’. Akifunguka bila wasiwasi mbele ya kamera na masikio ya waandishi, msanii huyo anayetambulika mtaani na filamu za Gundu na Judgement Day, aliwataja wasanii...

 

10 years ago

Bongo Movies

Alichokisema Wastara Kuhusu Mastaa Kutoa Mimba

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.

Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo.

“Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu amewaandikia watoto wangapi katika maisha yao, pia waache tabia ya kutoa mimba kwani baadaye wakati wakiwa tayari kuzaa watashindwa kuwapata na kujikuta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamume anavyokuwa chanzo cha mwanamke kutoa mimba — 3

KAMA kawaida, katika makala hii tunaanza na kishtua mada ili kupata ujumbe fulani wenye maana. Mshikaji 1: Waziri akishinikizwa na akajiuzulu ni kitendo cha uwajibikaji au sivyo? Mshikaji 2: Ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani