Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigezo vitano vitaamua baraza la mawaziri

Kazi za kwanza alizofanya Rais John Magufuli tayari zimeshamtambulisha kama rais asiyetaka mzaha na asiyevumilia uvivu, uzembe na kutowajibika kwa watumishi wa umma. Magufuli pia amejipambanua kama rais asiyependa ufujaji wa mali za umma na pia anayetaka kuona matokeo katika kazi na siyo blabla.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

11 years ago

BBCSwahili

Baraza la mawaziri labadilishwa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kujaza nafasi tano zilizokuwa wazi.

 

9 years ago

TZToday

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA

 

Jumla ya wizara ni 18 , Mawaziri ni 19.

Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba

Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani

Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama

Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki

Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli atangaza baraza la mawaziri

Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina mawaziri 19, ingawa wizara ni 18.

 

5 years ago

Habarileo

Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

 

9 years ago

Mwananchi

Sura mpya Baraza la Mawaziri

Baada ya kuapishwa kushika madaraka ya Rais, kibarua kizito cha Dk John Magufuli ni kuunda Baraza la Mawaziri litakaloendana na kasi ya kaulimbiu yake ya ‘Hapa kazi tu’, ambalo ni wazi litajaa sura nyingi mpya.

 

11 years ago

Mtanzania

Kagame avunja Baraza la Mawaziri

Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amevunja baraza lake la mawaziri kwa kumuondoa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Dk. Pierre Damien Habumuremyi na kumteua aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma wa nchi hiyo, Anastase Murekezi, kuchukua wadhifa huo.

Dk. Habumuremyi alikuwa Waziri Mkuu wa Ruwanda tangu Oktoba 7, mwaka 2011.

Murekezi amekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo tangu kumalizika vita vya mauaji ya kimbari mwaka 1994.

Waziri Mkuu wa kwanza alikuwa Faustin...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE

Kigoma. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri na kuunda jipya kutokana na tuhuma za ufisadi.Katika taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari baada ya mikutano yake katika mikoa ya Magharibi alisema ni lazima hatua hiyo kuchukuliwa ili kukabiliana na mafisadi ambao hakuwataja, vinginevyo alisema Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni anayoiongoza, itaanza maandalizi ya kuwasilisha bungeni, hoja ya kutokuwa na imani naye.Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani