Vigogo Uhasibu Arusha kizimbani
>Vigogo 11 akiwamo Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (AA), Profesa Johannes Monyo, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jul
Vigogo Chuo cha Uhasibu kizimbani
MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakituhumiwa kwa makosa manne tofauti yakiwemo ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali kiasi cha Sh 6,258,448.60.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Vigogo Bandari kizimbani
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), Ephraim Mgawe na naibu wake, Hamad Koshuma, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Vigogo kizimbani mgawo Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo wawili wa Serikali.
Vigogo hao, waliofikishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana, ni Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwakea na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Vigogo wa juu TPA kizimbani
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Vigogo wa TPA kizimbani Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-heJQ1h52KMUMf6BIV1M2iSkkPtG5UaJbRkrlhS-e3zChmwhmVWNo7eQVISGfZJgCekG1U5-Rt3yn-eNcLVuYkT3/11129626_1193267037354379_7095297692473874874_n.jpg)
POLISI WAKANUSHA TISHIO LA MAGAIDI KUSHAMBULIA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
9 years ago
Habarileo20 Aug
Vigogo watatu wizara ya afya kizimbani
MAOFISA Utumishi watatu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 3.7.
10 years ago
Habarileo31 May
Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa
MAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Mar
Vigogo wanne wa shule kizimbani kwa rushwa
NA MWANDISHI WETU
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Nachingwea, imepawandisha kizimbani wajumbe wa kamati ya shule kwa tuhuma za rushwa.
Wajumbe hao walipandishwa kizimbani Machi 11, mwaka huu, katika Mahakama ya Wilaya ya Nachingwea, wakishitakiwa kufanya ununuzi hewa ya vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh. milioni 1.3 kwa ajili ya Shule ya Msingi Farm Eight.
Kesi hiyo namba CC20/2015, ilifunguliwa Machi 11, mwaka huu, ambapo washitakiwa hao ni Hamza Chidoli...