Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WA GEREJI WASAKATA KABUNGU DAR

Wachezaji wa Timu ya Mnarani wakiwa kwenye pozi. Wachezaji wa timu ya  Macoaster wakiwa katika picha ya pamoja.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.

1

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.

2.1

Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika...

 

11 years ago

GPL

OPERESHENI GEREJI BUBU YAENDESHWA KINONDONI JIJINI DAR

Operesheni ya gereji bubu katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar inaendelea kwa sasa ili kusafisha maeneo katika wilaya hiyo.Operesheni hiyo ilianza tangu Februari 25 mwaka huu na inaendelea kwa mwaka…

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR

 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam....

 

11 years ago

Habarileo

Mafundi gereji Tegeta wapelekwa Mabwepande

SERIKALI imewataka wananchi wanaojulikana kama Umoja wa Mafundi Gereji, waliopo eneo la Tegeta Wazo Hill jijini Dar es Salaam kuondoka eneo hilo kabla ya Agosti 17 mwaka huu na kuhamia eneo walilotaarifiwa, ili kutekeleza amri ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.

 

11 years ago

GPL

POLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE

Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down.
Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa.
Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NYUMBA KAIRUKI ATEMBELEA GEREJI TEGETA

 . Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.  Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika...

 

9 years ago

Vijimambo

DC PAUL MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA GEREJI YA WACHINA NA KIWANDA CHA MAFUTA NA SABUNI,

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Gereji ya Spring City Enterprises inayomilikiwa na raia wa China iliyopo Mikocheni B Mlalakuwa  Barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam leo, alipofika kusikiliza malalamiko yao mbalimbali yakiwemo ya kutokuwa na mikataba ya kazi licha ya kuwa kazini kwa zaidi ya miaka saba. Makonda akiangalia kitambulisho dhaifu wanavyotumia wafanyakazi hao ambacho hakiwezi kutumimika kumuwekea mtu dhamana na shughuli...

 

11 years ago

Michuzi

Lori lapiga mweleka eneo la Tabata Gereji mchana huu,lilikuwa likiikwepa bajaj iliyokuwa ikikatisha barabara

 Lori lenye nambari za Usajili T 812 BQL lililokuwa na tela lenye nambari za Usajili T 738 ASH likiwa limepiga mweleka baada ya dereva wake aliejitambulisha kwa jina la Hamis Razack (24) kuzidiwa maarifa wakati akijaribu kuikwepa Bajaj iliyokuwa ikivuka barabara ya Mandera.Dereva wa Lori hilo amesema kuwa alijikuta akizidiwa maarifa na kujikuta akivuka ng'ambo ya pili ya barabara na kuja kujikita katika hapo.Ajali hii imetokea mchana wa leo maeneo ya Tabata Garage (gereji) wakati Lori hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani