Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


vijana wabunifu wa TEHAMA wapatiwa tuzo


 Modesta Joseph, mwananfunzi wa Kisutu Sekondari Dar es Salaam akipeana mkono wa pongezi na hati ya fedhana John Mngodo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia baada ya kushinda tuzo ya ubunifu wa TEHAMA wa kuwawezesha wananfunzi kuwasilisha kero zao za usafiri kutumia TEHAMA kwa Taasisi ya EWURA.

 Mgimba Faustine akipokea tuzo ya fedha taslimu kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia baada ya kushinda Tuzo ya Wabunifu wa TEHAMA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Vijana waambiwa wawe wabunifu

VIJANA wameshauriwa kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali na kufikiri njia mbadala za kujipatia kipato ili kuweza kujiajiri na kuepukana na ajira tegemezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Costech kusaidia vijana wabunifu

Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imesema itashirikiana na wahisani katika kusaidia vijana ambao wameonyesha uwezo wa kubuni miradi ya maendeleo kwa wajasiliamali kwa kutumia ujuzi wao walioupata katika vyuo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC yawateua Vijana wabunifu Kenya

Makundi mawili ya vijana wabunifu kutoka Kenya yateuliwa kuzindua mifumo ya kidijitali kwa ushirikiano na BBC

 

10 years ago

Raia Tanzania

Vijana watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu

VIJANA nchini wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick alisema vijana wanapaswa kuonyesha juhudi na hamu ya kufanikiwa.

Programu hiyo ijulikanayo kama ‘Kijana Jiajiri’ inalenga kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa...

 

9 years ago

StarTV

Dk. Bilal ahimiza vijana wabunifu kujiajiri

Makamu wa Rais Dokta Mohamed Gharib Bilal amewataka vijana kutumia kazi za ubunifu kama sehemu ya kujiongezea ajira na kuchangia zaidi kwenye pato la taifa kwa kutumia nguvu walizonazo.

Amesema, kwa wakati huu ambapo sekta ya ajira inakabiliwa na changamoto nyingi, hususan nafasi chache kwenye ajira rasmi, vijana hawana budi kuzingatia elimu ya ubunifu ili kukidhi upungufu uliopo.

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa huduma ya kurudisha taarifa...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU, WAJASIRIAMALI

  Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Afrika Tanzania, Mchungaji Joshua Lee akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya  ujasiriamali na teknolojia jana jijini Dar es Salaam,  mafunzo hayo yaliyotayarishwa na chuo hicho kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Handong cha Korea na UNESCO.Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bi. Sophia Mjema (katikati) akiwa pamoja na Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Afrika Tanzania, Mchungaji Joshua Lee (kulia) pamoja na mjumbe wa kamati ya chuo hicho, Bw. Gaudens Kayombo wakati wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makamanda vijana kata watakiwa kuwa wabunifu

KAMANDA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kalambo, Rosweeter Kasikila amewataka viongozi walioteuliwa hivi karibuni kuwa makamanda wa vijana ngazi za kata kuwa wabunifu kwa  kuandaa mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Dar watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu na kujiajiri

Vijana mkoani Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira ili kukukuza vipato vyao na kuchangia ukuaji wa pato la taifa.  Akizindua Programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake ijulikanayo kama Kijana Jiajiri, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Said Meck Sadiq amesema vijana hawana budi kuonyesha juhudi na hamu ya...

 

9 years ago

GPL

ZAIDI YA VIJANA 1000 WAPATIWA MAFUNZO BORA YA KILIMO

Maneja wa Mradi wa Kilimo Klabu wa Vodacom Tanzania, Frank Madebwe(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa Semina ya Vijana iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam iliyohusu masuala ya Kilimo na biashara ”Youth and Agriculture” iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya kilimo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani