Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana waliofanyia kazi tume walalamikia hela zao

Vijana waliopewa kazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kusimamia uchaguzi katika kata ya Igoma, Mwanza wamelalamikia kutolipwa hela zao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa uamsho walalamikia afya zao

Viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumika), akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake wameendelea kulalamika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hali zao kiafya ni mbaya na hakuna matibabu wanayopata.

 

9 years ago

Michuzi

NI HAKI YAKO KULIPWA HELA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII UNAPOFUKUZWA KAZI.

Image result for HIFADHI  YA  JAMII


           Na Bashir Yakub
Hela  ya  mifuko  ya  hifadhi ya jamii  ni  hela  ambayo  mwajiriwa  hukatwa  kiasi  kadhaa katika  mshahara  wake na  mwajiri  hutoa  kiasi  kadhaa  na  kuhifadhiwa  katika  mfuko uitwao  mfuko  wa hifadhi ya  jamii. Mfuko  wa  hifadhi  ya jamiii ni  kama NSSF, PSPF, LAPF, GEPF  n.k. Hii ndio  mifuko  ya  hifadhi  ya   jamii. Ipo  mifuko  ya  hifadhi  ya jamii  ambayo  huhudumia  mashirika  ya  umma  na  ipo  mingine  ambayo  huhudumia  mashirika  binafsi,...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM walalamikia tume ya uchaguzi NEC, kufuatia kukosa majimbo manne Tanzania Bara

January

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!

SAM_0040

baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko 

Na.Jumbe Ismailly.

[Ikungi-SINGIDA] Mkuu  wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Tume yakumbusha kazi ya mawakala

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imewataka mawakala wa vyama vya siasa kufanya kazi kwa weledi na uadilifu katika kulinda kura za wagombea wa vyama vyao, ili Uchaguzi Mkuu umalizike kwa amani na utulivu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya Katiba imekamilisha kazi, tuipongeze

Habari kwamba Tume ya Mabadiliko ya Katiba imekamilisha kazi ya kuandika Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya bila shaka zimepokewa kwa furaha na wananchi wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomani awashukia wanaobeza kazi ya Tume ya

Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Boman amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuachana na msimamo wake wa muundo wa Serikali mbili na kwamba, wawaachie wananchi waamue.

 

10 years ago

Habarileo

Tume ya Walimu kuanza kazi Julai

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.SERIKALI imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kushirikiana na Vijana katika kutatua changamoto zao

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na Vijana wa Tanzania walioshiriki mkutano wa tatu wa Vijana kutoka nchi za Bonde la Mto Nile (hawapo pichani) uliofanyika nchini Misri kuanzia tarehe 6 – 14 Novemba 2015 ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu kutoka nchi washiriki. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani