Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAZUNGUMZIA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Msanii Kala Jeremiah akiwa kwenye pozi baada ya kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar. KIWA leo ni sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, baadhi ya vijana katika jiji la Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu sherehe hizo. Msanii wa muziki Kala Jeremiah ni miongoni mwao ambapo alisema: “Mapinduzi hayo ni sherehe ambayo inatukumbusha jitihada walizofanya viongozi wetu kwa kuikomboa Zanzibar kutoka kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI

Baadhi ya vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wameshika picha za waasisi wa Tanzania na Marais wa Sasa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.vijana...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

10 years ago

Mwananchi

Shein: Vijana lindeni Mapinduzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amewataka vijana kuendelea kulinda misingi ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuwa tukio hilo ni mchakato uliotokana na madhila waliyofanyiwa wazawa wakati wa utawala wa Sultani.

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana wa CCM Zanzibar Waunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar Dk Shein

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi

Zanzibar yaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, yalioung'owa utawala wa Sultani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Baada ya mapinduzi Zanzibar

Miaka 50 baada ya Mapinduzi ya Zanzibar vipi maisha raia wa visiwa hivyo?

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 51 Mapinduzi ya Zanzibar

Chini ya uongozi wa Karume, Zanzibar inatajwa kama nchi iliyokuwa ikipiga hatua nzuri hasa katika maendeleo ya uchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Habarileo

Mafanikio ya Mapinduzi Zanzibar

MAPINDUZI ya Zanzibar jana yalitimiza miaka 50, huku Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akielezea mafanikio ya kupigiwa mfano, yaliyotokana na uongozi wa kizalendo katika muda huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 50

>Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein atawaongoza maelfu ya wananchi wa Zanzibar, kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani