Vijiji kumburuza kortini Kamishna wa Ardhi
MGOGORO wa ardhi baina ya wakulima na wafugaji unaoitesa Wilaya ya Kilosa kwa muda mrefu unaingia katika hatua nyingine baada ya Kijiji cha Mfulu, Mambegwa na Mbigili kumburuza mahakamani Kamishna...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mnyika kumburuza Maghembe kortini
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, anakusudia kumshitaki Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kwa madai ya kumnyima nyaraka zinazohusiana na miradi ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam. Mnyika...
10 years ago
Habarileo30 Dec
Kusiluka Kamishna mpya wa Ardhi
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Moses Mpogole Kusiluka (42) kuwa Kamishna Ardhi nchini.
5 years ago
MichuziMAJALIWA: WENYEVITI WA VIJIJI ACHENI BIASHARA YA ARDHI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji wanaofanya biashara ya ardhi waache na badala yake amewataka wajihusishe katika kutekeleza majukumu yao ya msingi.
Ameyasema leo(Jumatano, Machi 4, 2020) wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Bokwa wilayani Kilindi akiwa kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.
Waziri Mkuu amesema tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kujihusisha na biashara ya uuzaji wa...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
JK amteua Dk Kusikuka kuwa Kamishna wa Ardhi
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Rais Kikwete amemteua Dkt. Moses Kusiluka kuwa Kamishna Ardhi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka (42) kuwa Kamishna Ardhi nchini.
Uteuzi huo ulianza Jumanne ya Desemba 23, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Kusiluka alikuwa Mkuu wa Idara ya Real Estate Finance and Investment katika Chuo Kikuu cha Ardhi, Dar Es Salaam, ambako amekuwa mhadhiri kwa miaka minane iliyopita, tokea 2006.
Dkt. Kusiluka ana Shahada ya Kwanza ya BSC (Land Management and Valuation) kutoka Chuo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Mbowe kumburuza Zitto mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Yanga kumburuza Okwi FIFA
![Emmanuel Okwi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Okwi.jpg)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi
NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Mfugaji atishia kumburuza mahakamani diwani
MFUGAJI na mkulima wa Kijiji cha Ufana, Kata ya Mgungira, Tarafa ya Sepuka, wilayani hapa mkoani Singida, Sawaka Kujelwa, ametishia kuwafungulia mashtaka mahakamani viongozi wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...