Vijiji vya Bomba la Gesi kupewa umeme
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema njia pekee ya kuondokana na hujuma dhidi ya bomba la gesi linalosafirisha gesi Mtwara - Dar es Salaam ni kuviwekea umeme vijiji vyote bomba hilo linamopita. Hivyo ameigiza Wizara ya Nishati na Madini kuhakikisha inatenga fedha kila mwaka kwa ajili ya miradi ya umeme katika maeneo hayo ili wananchi wajione ni sehemu ya mradi huo badala ya kuona bomba la gesi linapita bila kuwa na manufaa nalo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwijage akagua miradi ya umeme pembeni mwa bomba la Gesi
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini Awamu ya Pili inayotekelezwa pembeni ya bomba kubwa la gesi katika mkoa wa Mtwara.
Pamoja na kukagua miradi hiyo inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kutekelezwa na shirika la Umeme nchini (TANESCO), Naibu Waziri pia amekagua maendeleo ya kituo cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba katika mkoa wa Mtwara.
Katika ziara hiyo Mwijage...
10 years ago
Michuzi
SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM


Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania
“Kwa mara nyingine Symbion...
10 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-
MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.
11 years ago
Mwananchi23 May
Mitaa kikwazo usambazaji bomba la gesi
11 years ago
Mwananchi26 Jan
‘Waliopitiwa na bomba la gesi wanufaike pia ’
11 years ago
Michuzi.jpg)
UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI
10 years ago
Michuzi04 Jan