Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikwazo kwa mazoezi Bujumbura

Meya wa jiji la Bujumbura Said Juma, ametoa amri inayokataza watu wengi kufanya mazoezi kwenye barabara za mji huo sharti upate idhini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLISI WAWILI WAUAWA KWA GURUNETI BUJUMBURA, BURUNDI

Taswira za machafuko nchini Burundi wakati wa maandamano ya kupinga hatua ya Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ya kuamua kugombea tena katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Polisi wawili wameuawa katika machafuko yanayoendelea nchini Burundi katika mwendelezo wa maandamano ya wapinzani ya kupinga hatua ya Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ya kuamua kugombea katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Polisi ya Burundi imetangaza...

 

10 years ago

StarTV

Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.

Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.

Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vikwazo kwa makamanda wa S Sudan

Umoja wa Mataifa umeweka vikwazo hivyo dhidi ya makanda sita Sudan Kusini

 

11 years ago

BBCSwahili

Vikwazo kwa viongozi wa ghasia Ukraine

Mawaziri wa mambo ya nje wa Muungano wa Ulaya, wameamua kuwawekea vikwazo viongozi wa ghasia zinazoendelea nchini Ukraine.

 

11 years ago

Mwananchi

TPSF yaeleza vikwazo kwa wafanyabiashara

Ubinafsi wa wafanyabishara wadogo ni miongoni mwa vikwazo vinavyozuia maendeleo yao kutokana na kukosa fursa zinazounganisha nguvu zao, ili waweze kupata mitaji mikubwa itakayowasaidia kuwekeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Mazoezi kwa wanawake waliojifungua kwa upasuaji

Wanawake wengi wanaojifungua kwa upasuaji, hukumbana na changamoto kubwa ya kurudisha miili yao katika hali ya kawaida. Hali hii husababishwa na muda wa kuuguza kidonda na hofu ya kujitonesha

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aionya Urusi kwa vikwazo zaidi

Rais Obama ameitaja hatua ya Urusi kutwaa eneo la Crimea kutoka kwa Ukraine kama ishara ya udhaifu.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana akerwa vikwazo kwa wakulima Rukwa

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, amesema tatizo la wakulima wa Mkoa wa Rukwa, kuwekewa vikwazo na kupangiwa maeneo na muda wa kuuza mazao yao ni lazima liwe historia ili waondokane na umasikini.

 

5 years ago

Michuzi

SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI

Eric Msuya – MAELEZO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya Mtandao (video conference) leo jijini Dar es Salaam, amesema Mkutano huo ni mahususi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani