Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi mbalimbali watembelea banda la Mambo ya Nje sabasaba

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova  akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Maonesho la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Viwanja vya SabasabaMtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Janeth Widambe akipata maelezo alipotembelea Banda la Mambo ya Nje katika Viwanja vya SabasabaWananchi wakiwa wamefurika katika Banda la Maonesho la Mambo ya Nje katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Kamanda wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK Atembelea Banda la Mambo ya Nje, Sabasaba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akiwasili kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye viwanja vya SabasabaRais Dkt. Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Wizara ya Mambo ya NjeRais Kikwete (Mwenye Koti la Blue) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Taasisi zake.Mtumishi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mbwana Msingwa akiweka saini katika kitabu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na viongozi ngazi mbalimbali Wizara ya Mambo ya Nje

6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Victoria Richard Mwakasege (pichani) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwakasege alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Aidha, Rais Kikwete amemteua Msaidizi wa Rais wa Diplomasia, Balozi Samwel Shelukindo kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Kimataifa.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mmoja wa wafanyabishara wa nishati kutoka Korea akiangalia  vinyago kwenye banda la  Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho  ya Kimataifa ya  Sabasaba (Dar es Salaam International  Trade Fair; DITF) yanayoendelea katika  viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Afisa wa Huduma kwa Wateja kutoka Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO)  Lucas Kusare ( wa pili kutoka kulia) akiwaonesha  wafanyabiashara wa nishati kutoka Korea mfano wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.  Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI‏

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.
 Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mambo yameiva ndani ya banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba!

DSC_0004

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.

DSC_0008

Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba kwa sababu MeTL Group wamekuwa Mawakala waliothibitishwa Tanzania nzima (Authorized...

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA!‏

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII MAARUFU WA VICHEKESHO WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


000000 Msanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi anayeshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, Habib Mrisho (Sumaku) akisaini kitabu cha wageni katika banda la Jeshi la Magereza wakati msanii huyo na mwenzake Jesca Kindole kwa jina maarufu la uigizaji (Safina -kulia) walipotembelea mabanda ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kulia ni maafisa wa Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA MAREKANI WATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (katikati) akizungumza na ujumbe wa wafanyabiashara na Mabalozi wa Heshima wa Tanzania nchini Marekani uliokuja kumtembelea Ofisini kwake. Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya TANAS Energy Group ya Marekani, Bw. William Crawford wa kwanza kulia kwa Kaimu Katibu Mkuu upo nchini kwa madhumuni ya kuangalia fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii.
Ujumbe wa Marekani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani