Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa Dini Arusha wapata elimu ya kujinga na uhalifu unapotumia huduma za Mawasiliano

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua semina ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha ikiwa ni Kampeni ya TCRA  Sirubuniki Mjanja Haingizwi Chaka. Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Mhandisi Emelda Salum akizungumza wakati wa semina ya Kamati ya Amani Mkoa wa Arusha ikiwa ni Kampeni ya TCRA , Sirubuniki Mjanja Haingizwi Chaka. Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Emelda Salum akitoa maelezo ya Kampeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Acha tabia hizi unapotumia vifaa vya mawasiliano

Kuna wakati baadhi yetu tunapenda kufanya vitu kwa mazoea, japo vinaweza kuwa na madhara makubwa katika maisha yetu. Nitavitaja baadhi.

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepekuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtelkatika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha ,akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, BrightonMajwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaadawa vitabu  Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , HamadBoay , wakati wa uzinduzi wa huduma manara wa huduma za mawasiliano wakampuni ya simu za...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA‏

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha , akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaada wa vitabu Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , Hamad Boay , wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini waahidi kuwa mabalozi wa TCRA, kutoa elimu kwa waumini


KAMATI ya Amani mkoa wa Morogoro imesema kuwa elimu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano imefika kwa wakati mwafaka kutokana na teknolojia hiyo kukua kila siku.
Wameyasema hayo wakati wa Semina ya Kamati ya Amani ya Mkoa  Morogoro inayotolewa na  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutoa elimu juu ya utumiaji wa huduma za mawasiliano kwa kujinga na Uhalifu unapotumia huduma hizo.
TCRA ipo katika Kampeni ya SIRUBUNIKI kuwa Mjanja ambayo inakwenda katika mikoa yote ya Tanzania Bara na...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.

 Kamanda Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.   Kamanda Mpiga...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA

  Wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kati yao na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi huu. 
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani