Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa kamati watakiwa kuandaa njia mbadala ya kukabiliana na maafa

Wenyeviti wa kamati za maafa na majanga za wilaya wametakiwa  kuwa na njia mbadala za kukabiliana na maafa na majanga kabla hayajatokea badala ya kusubiri mpaka yatokee ndipo wayafanyie kazi.

Aidha wametakiwa pia kutumia sheria na taratibu za vijiji ili kukabiliana na maafa na majanga yayoweza kuzuilika ikiwemo kuzuia shughuli zinazofanywa na binadamu na kuchangia uharibifu wa mazingira.

 mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstafuu Chiku Galawa ameyasema hayo  katika warsha ya kuwasilisha tathmini...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA

 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma,  tarehe 12 Septemba, 2015. Mjumbe wa Kamati ya Maafa wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: KAMATI ZA MAAFA ZIUNGANE NA WARATIBU WA KUKABILIANA NA CORONA




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na ugonjwa wa Corona, ambayo yeye ni Mwenyekiti wake, katika kikao kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Machi 25, 2020. (Picha na OIfisi ya Waziri Mkuu).

******************************


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza kamati za Maafa katika ngazi za mikoa na wilaya ziungane na waratibu wa kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani

VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kutumia njia mbadala Iraq

Marekani inafikiria kutumia njia mbadala za kuwaokoa maelfu ya Wayazidi nchini Iraq.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KUKABILIANA NA MAAFA MBALIMBALI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa hotuba katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed kitoa hotuba yake katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni ZanzibarBaadhi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kutumia nishati mbadala

MTAFITI wa Taasisi ya Uchumi na Jamii (ESRF), Solomon Balegu ametaka Watanzania kutumia nishati mbadala ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Balegu alisema kuwa ikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani