Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA UKAWA WASHIRIKI KUAGA MWILI WA DR EMANUEL MAKAIDI

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.

Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.

Katika...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa na Mh. Walioba washiriki Ibada ya Kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro jijini dar leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsalimia Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokutana katika msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,Mzee Joseph Butiku wakati wakiwa kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa...

 

9 years ago

GPL

MWILI WA DK. MAKAIDI WAAGWA KARIMJEE, KUZIKWA SINZA

Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake. Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa mbele wakati ibada maalum ya kumuombea ikiendelea. Mke wa marehemu, Bi Modester Makaidi akionekana mwenye majonzi mazito. …

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mhe Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

9 years ago

Habarileo

Pingamizi kuaga mwili wa Mawazo latupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupa pingamizi lililowekwa na Serikali katika shauri la kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa hivi karibuni na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta aongoza kuaga mwili wa Kihwele

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta jana ameongoza wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli (TRAWU), Erasto Kihwele aliyefariki dunia Aprili 17 mwaka huu.
Marehemu Kihwele aliagwa na mamia ya watu katika ukumbi wa TAZARA ambako huzuni na vilio vilitawala.
Akizungumza wa kutoa salamu za rambirambi,Waziri Sitta alisema alimfahamu Kihwele muda mfupi.
Alisema enzi za uhai wake,...

 

10 years ago

Mwananchi

Makaidi kuwania urais kupitia Ukawa

Wakati vyama vingine vinavyounda Ukawa, vikiendelea na mchakato wa kutafuta jina litakalopendekezwa kuchukua kiti cha urais, Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema, tayari chama chake kimeshapendekeza jina lake kuwa miongoni mwa vigogo watakaoshindanishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

 

9 years ago

TheCitizen

Ukawa, and family plan Makaidi's funeral

The body of  chairman of opposition National League for Democracy, Dr Emmanuel Makaidi, was expected in Dar es Salaam from Masasi last night.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani