Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Visa na Mikasa:Mafufu Amshusha Rado Garini!!

MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel.

Paparazi wa GPL  alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.


“Shukashuka, bora apande mwingine kuliko wewe,” alisikika Jimmy huku Rado akitii amri bila shuruti na kuondoka.

Picha: Mwigizaji Rado akiwa katika...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI

Stori: Hamida Hassan/Risasi MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Paparazi wetu alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Visa, mikasa ya Sitta

WAKATI Bunge Maalum la Katiba likiwa limemalizika, yako mambo mengi ya kusimulia kuhusu vituko, visa na mikasa vilivyojitokeza ndani ya Bunge hilo ama iwe kwa wajumbe au Mwenyekiti wao Samuel...

 

9 years ago

TheCitizen

Card issuer Visa Inc buys Visa Europe in 21-bn-euro deal

US credit card issuer Visa Inc. said yesterday it is buying back its former subsidiary Visa Europe in a 21.2-billion-euro ($23.5-billion) deal identifying increased scale and efficiencies.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RADO: Mwili tu huu jamani! Mi’ sio mgomvi

KATI ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kukimbiza katika tasnia ya filamu nchini, Simon Mwapagata ‘Rado’, ni mmoja wao. Mkali huyu ambaye alianza kusota kwenye sanaa ya uimbaji, aligeukia filamu...

 

10 years ago

GPL

RADO AKOMBWA VIFAA VYA GARI, LABAKI MKWECHE

Na Gladness Mallya/Ijumaa
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Simon Mwapagata ‘Rado’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya vibaka kukomba vifaa vya gari lake vyenye thamani ya shilingi milioni tatu. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Simon Mwapagata ‘Rado’. Akizungumza kwa huzuni juzikati, Rado alisema siku ya tukio alipaki gari lake aina ya Toyota Mark X sehemu aliyoizoea kila siku maeneo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mahabusu wagoma kushuka garini

MAHABUSU wanaokabiliwa na kesi za mauaji kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana waligoma kushuka kwenye basi la Magereza kwa madai kwamba kesi zao zinachukua muda mrefu na upelelezi hauishi. Kutokana na mgomo huo, walirudishwa kwenye Gereza la Kisongo mkoani hapa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya visa vya corona Kenya imefikia 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa

Idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imefikia hadi 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa, imetangaza Wizara ya afya nchini humo

 

11 years ago

Mwananchi

Mikasa, vitimbi na shida mafuriko ya Magole-Dumila

>Kati ya watu wanaojutia mafuriko hayo ni mtoto  Mohamed Said, mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Magole, mkoani humo.

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA BILIONEA WA MAPENZI GARINI BUKOBA HISTORIA!

Stori: Erick Evarist
ACHANA na mazingira ya kifo cha Bilionea maarufu wa Bukoba, Leonard Mtensa aliyefariki saa chache baada ya kufanya mapenzi ndani ya gari kuacha gumzo, gumzo lingine lilitokea wakati wa mazishi yake ambayo yalihudhuriwa na wananchi wengi kutoka ndani na nje ya mkoa, Risasi Mchanganyiko linakupa mkanda kamili. Msafara wa magari kuelekea kwenye mazishi. Tukio hilo la mazishi lilijiri Jumamosi iliyopita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani