MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI
![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByjRN4389TX3KsJgcOFbyI4bxGH1NefARP6C*nBy6djH91f1M5wwFH06VHLc7bZ1Z01wcGvuXv2K3HsW41wFpne/rado.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan/Risasi MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Paparazi wetu alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini. “Shukashuka,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
Visa na Mikasa:Mafufu Amshusha Rado Garini!!
MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel.
Paparazi wa GPL alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka, bora apande mwingine kuliko wewe,” alisikika Jimmy huku Rado akitii amri bila shuruti na kuondoka.
Picha: Mwigizaji Rado akiwa katika...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
RADO: Mwili tu huu jamani! Mi’ sio mgomvi
KATI ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kukimbiza katika tasnia ya filamu nchini, Simon Mwapagata ‘Rado’, ni mmoja wao. Mkali huyu ambaye alianza kusota kwenye sanaa ya uimbaji, aligeukia filamu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJNHSUIEhfiG9JSrCIc1HZTisUfQP6QJudUvLbPRvrUdRQMPAz4ramTDonSbpqz9lc4J0X1KSYIf*ThJr9U5u6Mo/Rado.jpg)
RADO AKOMBWA VIFAA VYA GARI, LABAKI MKWECHE
10 years ago
Habarileo23 Sep
Mahabusu wagoma kushuka garini
MAHABUSU wanaokabiliwa na kesi za mauaji kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana waligoma kushuka kwenye basi la Magereza kwa madai kwamba kesi zao zinachukua muda mrefu na upelelezi hauishi. Kutokana na mgomo huo, walirudishwa kwenye Gereza la Kisongo mkoani hapa.
11 years ago
Michuzi17 Apr
hatimaye Mwenye simu iliyosahauliwa garini kapatikana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fk8b8Dgv0ZEQGsEUVAjAEOnmu4Lc93J9Z09sssvToKOfEqSIP7vvYzPV9Yj30CWWPbgnzxCvXa5XDoQLsMZ69QN/hitoria.jpg)
MAZISHI YA BILIONEA WA MAPENZI GARINI BUKOBA HISTORIA!
10 years ago
Bongo Movies20 May
Picha za Stan Bakora Akibanjuka Garini Zaleta Balaa, Kitale Aingilia Kati!
Picha za Msanii wa vichekesho anaeibukia, Stan Bakora akiwa anabanjuka na mwanamke ndani ya gari zimesambaa kwa kasi mtandaoni na kupelekea msanii mwenzake, Kitale “Mkude Simba” ambaye ndiye aliemtoa kisanii kuingilia kati na kumshukia Mateja Musa ambaye anadaiwa kuziweka picha hizo mtandaoni.
“@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa...
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Mafufu ‘Kufia’ UKAWA
Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu kila upande wa siasa una changamaoto zake.
Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.
Ameseme yupo UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...
9 years ago
GPLMAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA