Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafufu ‘Kufia’ UKAWA

Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu  kila upande wa siasa una changamaoto zake.

Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu  yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.

Ameseme yupo  UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais  wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA

Nyota wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. SHANI RAMADHANI NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake. “Nilihama CCM na...

 

11 years ago

GPL

MCHUNGAJI: NAENDA KUFIA KWETU

Stori: Makongoro Oging’
Mchungaji Langeni Mwasibira (39) wa Baptist Church lililopo Kyela mkoani Mbeya amelazimika kuondoka hospitalini Muhimbili jijini Dar es Salaam kurejea nyumbani kusubiri kufa baada ya madaktari kumweleza wazi kuwa ugonjwa wake hauwezi kutibika. Mchungaji Langeni Mwasibira wa Baptist Church lililopo Kyela mkoani Mbeya amelazimika kuondoka hospitalini Muhimbili jijini Dar es Salaam kurejea nyumbani...

 

10 years ago

GPL

MAAJABU WATOTO KUFIA KWA GWAJIMA

Stori: Waandishi Wetu
“KWA kweli sisi kwetu kama kanisa ni maajabu na mshtuko. Inapotokea ajali kama hii bila kutarajia lazima kutokee mshtuko. Hakuna anayependa kutokea kwa hali hii, tumuombe Mungu. Najua mengi yatasemwa lakini ukweli ni kumuachia Mungu tu,” ndivyo alivyoanza kusema Askofu Yekonia Byabaza ambaye ni Msaidizi wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Marehemu Sarah enzi za uhai...

 

10 years ago

GPL

HOFU MTOTO WA ZARI KUFIA TUMBONI

STORI: MWANDISHI WETU HABARI ya mjini kwa sasa ni mjadala mzito mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, mpenzi wa sasa wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anaweza kumuua motto aliye tumboni kutokana na tabia yake ya kuvaa viatu vyenye visigino virefu (high hills) katika kipindi hiki cha ujauzito. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1LJqtew ...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU ADAIWA KUFIA KITUO CHA POLISI

Na Shani Ramadhani
MSIBA! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Juma Abdallah Juma (51), mkazi wa Bunju ‘B’ jijini  Dar anadaiwa kufia kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar huku ndugu wakiibuka na madai kuwa, alipigwa na polisi wa kituo alichowekwa mahabusu, Uwazi lilifuatilia. Marehemu Juma Abdallah Juma enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili, dada wa marehemu Juma, Mwanaidi Abdallah alisema, awali,...

 

10 years ago

GPL

MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA

Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack  ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye. Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake. Awali ilibainika kuwa,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Visa vya marais wetu kutibiwa na kufia nje

TAARIFA kuwa Rais Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (Prostate) bila shaka zilistua wengi kama si wote. Wengi hawakujua, ama walifichwa ukweli kuwa Rais anaumwa. Hawajui ukubwa wa tatizo...

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI

Stori: Hamida Hassan/Risasi MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Paparazi wetu alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani