MAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA
Nyota wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. SHANI RAMADHANI NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake. “Nilihama CCM na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAFUFU: SIWEZI KUONGEA NA H.BABA MILELE
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Mafufu ‘Kufia’ UKAWA
Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu kila upande wa siasa una changamaoto zake.
Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.
Ameseme yupo UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...
9 years ago
Bongo Movies14 Sep
Ray Kutoa Tamko Juu ya Tetesi za Kuhama UKAWA
Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM., Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.
Kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa kijamii wa instagram Ray ambaye amekuwa akishambuliwa na baadhi mashakibi wake kwenye mtandao huo wakidai kuwa amenunuliwa , aliandika haya;
“Nimeyasikia mengi sana kwenye mitandao ya kijamii ila nasema hivi nitatoa tamko langu...
9 years ago
Bongo Movies24 Sep
Mastaa Kuhama Ukawa Kwenda CCM, Siri Nzito Yafichuka
NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika.
Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walitangaza kuhamia CCM na kuzua taharuki kwa wafuasi wao.
Baada ya wawili hao kuhamia CCM, yaliibuka...
9 years ago
StarTV05 Sep
Hali bado tete UKAWA Vijana zaidi wazidi kuhama-Tabora.
Siku chache mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dokta Wilbroad Slaa Kujiuzulu na kuamua kuachana na siasa kutokana na kutokuridhishwa na utendaji ndani ya chama hicho baadhi ya vijana wamezidi kukihama chama hicho jambo ambalo linadaiwa kukidhoofisha chama hicho.
Baadhi ya vijana mjini Tabora waliokuwa wanachama wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA wameandamana hadi ofisi ya CCM Wilaya na kudai wanajiunga na chama hicho baada...
9 years ago
VijimamboPICHA WAZIRI MKUU MSTAAFU ALIPOTANGAZA KUHAMA KUJIUNGA UKAWA MAPEMA LEO
9 years ago
GPLMAFUFU AKUBALI KUITWA ZOBA
10 years ago
GPLMKE WA MAFUFU ABEBA VIRAGO!
10 years ago
GPLMAFUFU: MASHABIKI WANANITAKA KIMAPENZI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10