hatimaye Mwenye simu iliyosahauliwa garini kapatikana
Nashukuru sana kwa msaada wako.Wiki iliyopita niliweka tangazo langu humu nikiomba msaada wa kumpata dada aliyesahau simu yake ndani ya gari langu,wadau walitoa mawazo mbalimbali ya namna ya kumpata huyo dada. Kuna mdau alinishauri nitoe line yake(iliyofungwa) na niweke line nyingine,nimefanya hivyo na nikampata rafiki yake akanieleza wapi mama yake anapatikana. Bahati nzuri namfahamu mama huyo,hivyo nimeomba namba ya huyo mama kwa watu ,na nimeongea naye na wakati wowote nitaikabidhi simu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/snaF4AQL0dF7AdSgOmg8TVB7m6YHv90bE93LsUpj4Jh7a2Em5rnr*4WrZfqq6iYjNXmA2X5l0jqScE6HwuxnQfCdOVhfQ613/MTOTOINDIA1.jpg)
HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU INDIA
10 years ago
Habarileo23 Sep
Mahabusu wagoma kushuka garini
MAHABUSU wanaokabiliwa na kesi za mauaji kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana waligoma kushuka kwenye basi la Magereza kwa madai kwamba kesi zao zinachukua muda mrefu na upelelezi hauishi. Kutokana na mgomo huo, walirudishwa kwenye Gereza la Kisongo mkoani hapa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByjRN4389TX3KsJgcOFbyI4bxGH1NefARP6C*nBy6djH91f1M5wwFH06VHLc7bZ1Z01wcGvuXv2K3HsW41wFpne/rado.jpg?width=650)
MAFUFU AMSHUSHA RADO GARINI
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu
![](http://accents.international.uiowa.edu/wp-content/uploads/2011/03/slaa-cropped.jpg)
Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.
Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fk8b8Dgv0ZEQGsEUVAjAEOnmu4Lc93J9Z09sssvToKOfEqSIP7vvYzPV9Yj30CWWPbgnzxCvXa5XDoQLsMZ69QN/hitoria.jpg)
MAZISHI YA BILIONEA WA MAPENZI GARINI BUKOBA HISTORIA!
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
Visa na Mikasa:Mafufu Amshusha Rado Garini!!
MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel.
Paparazi wa GPL alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka, bora apande mwingine kuliko wewe,” alisikika Jimmy huku Rado akitii amri bila shuruti na kuondoka.
Picha: Mwigizaji Rado akiwa katika...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Picha za Stan Bakora Akibanjuka Garini Zaleta Balaa, Kitale Aingilia Kati!
Picha za Msanii wa vichekesho anaeibukia, Stan Bakora akiwa anabanjuka na mwanamke ndani ya gari zimesambaa kwa kasi mtandaoni na kupelekea msanii mwenzake, Kitale “Mkude Simba” ambaye ndiye aliemtoa kisanii kuingilia kati na kumshukia Mateja Musa ambaye anadaiwa kuziweka picha hizo mtandaoni.
“@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA