Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituo viwili vya macho vyafungwa

Baraza la Macho (Optometry) limevifungia vituo viwili vilivyokuwa vinauza miwani tiba baada ya kubainika kuwa vinatoa huduma hiyo kienyeji, hivyo kusababisha wananchi kupoteza uwezo wa macho yao kuona.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NexLaw Advocates watembelea Vituo viwili vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam

Ikiwa moja kati ya huduma zake za ‘Corporate Social Responsibility’ kwa jamii zitolewazo na NexLaw Advocates tarehe 4 April 2015 NexLaw Advocates ilitembelea vituo viwili vya watoto jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka. Vituo vilivyotembelewa na kampuni ya NexLaw Advocates ni House of Blue Hope ya Mabibo ambacho ni kituo cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza na kituo cha watoto cha Msimbazi Children’s Home Centre cha Msimbazi jijini Dar es Salaam Home...

 

5 years ago

Michuzi

NG'OMBE MWENYE VICHWA VIWILI, MIDOMO MIWILI NA MACHO MATATU AZUA TAHARUKI


Na Woinde Shizza, Arusha
TAHARUKI kubwa imeibuka kwa wananchi wa Kijiji cha Ngiresi kilichopo kwenye Kata ya Sokoni 2 katika Halmashauri ya Arusha baada kuzaliwa ng'ombe mwenye vichwa viwili ,midomo miwili na macho matatu .
Kuzaliwa kwa ng'ombe huyo katika eneo hilo kumeibua maswali mengi yasiyo na majibu kwa wananchi hao huku wengi wao wakionekana kushangaa.
Akizungumzia tukio hilo, Mmiliki wa ng'ombe huyo Eliakimu Mungasi ameiambia Michuzi Globu ya jamii kwamba wakati anapewa taarifa ya...

 

9 years ago

StarTV

Vifaa vya utabiri wa hali ya hewa vyafungwa Arumeru-Arusha

Wananchi wa kata Sita za wilaya ya Arumeru ambazo hukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara huenda wakaondona na adha hiyo, kutokana na ufungwaji wa vituo 36 vya ufuatiliaji wa hali ya hewa, vitakavyosaidia kutoa taarifa sahihi na kuwawezesha wakazi hao kukabiliana na majanga mapema zaidi.

Sehemu tuu ya janga la mafururiko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha mmomonyoko wa udongo kwenye baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Mratibu wa mradi wa...

 

5 years ago

Michuzi

VIWANDA VIWILI VYA MFANO VYA UCHENJUAJI DHAHABU VYAZINDULIWA NCHINI

WAZIRI wa Madini Doto BitAeko katikati akijiandaa kukata utepe hafla ya uzinduzi wa viwanda hivyo vya Mfano.Mtaalamu wa kuendesha mitambo ya uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia teknolojia ya Kisasa Gabriel Masanyiwa akitoa maelezo ya hatua zinazopitiwa mpaka kupata dhahabu.Waziri wa Madini, Doto Biteko akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kilipojegwa kiwanda cha kuchenjua dhahabu bila kutumia kemikali ya zebaki cha Katente wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho uliofanyika tarehe 26...

 

9 years ago

BBCSwahili

Visa viwili vipya vya Ebola vyaripotiwa Guinea

Visa viwili vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola vimeripotiwa nchini Guinea na kufuta matumaini ya kudhibiti ugonjwa huo.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini

 Vichwa viwili kati ya vichwa 13 vya treni vilivyonunuliwa na TRL 
Machi 21, 2015 tumeshuhudia tukio muhimu sana kwa TRL kupokea sehemu ya vichwa vipya vya treni vilivyoagizwa kutoka nje ya Nchi.  Tumepokea vichwa viwili (2) kati ya vichwa kumi na tatu (13) vya treni vilivyonunuliwa na TRL kupitia bajeti ya Serikali.


Vichwa hivi vimetengenezwa kupitia mkataba kati ya TRL na Kampuni ya EMD ya Marekani.  Utengenezaji wa vichwa hivi vya treni umefanyika na Kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.


Ununuzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yarekodi visa viwili huku Rwanda 11 wakiruhusiwa kwenda nyumbani

Watu wawili wamepatikana na maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya huku wagonjwa 11 wakitarajiwa kuruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupona virusi hivyo nchini Rwanda.

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba na ndoto ya vituo vya Michezo vya Kanda

Na Mwandishi WetuMbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba(Pichani juu)  hivi karibuni ameainisha adhma yake ya kuinua kiwango cha michezo nchini.
Azma hizo zimo katika  katika mazungumzo yake na Padre Privatus Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti hili imekipata nakala yake ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI

 Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto).   Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala. Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani