Vivian-namuheshimu Jaguar, mtuache
Mwanamuziki Vivian Wambui, amewaomba wapenzi wa muziki kumheshimu na kuacha kumuhusisha na tuhuma za uhusiano wa kimapenzi na Jaguar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Jaguar — One Centimeter
Baada ya kioo, muimbaji wa Kenya, Jaguar, anaachia ngoma yake mpya iitwayo ‘One Centimeter. Ni ngoma ya mapenzi iliyotayarishwa katika studio za Main Switch.
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Jaguar awakasirisha mashabiki Marekani
Charles Njagua kanyi anayejulikana kama 'Jaguar' alitarajiwa kuwatumbuiza raia wa Atlanta nchini Marekani siku ya ijumaa lakini hakuonekana hadi asubuhi.
9 years ago
Bongo522 Nov
Video: Zikki Ft Jaguar – Take it Slow
![Jaguar-and-zikki](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Jaguar-and-zikki-300x194.jpg)
Msanii kutoka Kenya anaitwa Zikki ameachia video mpya wimbo unaitwa “Take it Slow”, Amemshirikisha Jaguar. Video imeongozwa na Enos Olik.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL26 Aug
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music Video: Jaguar — One Centimeter
Jaguar wa Kenya hatimaye ameachia video yake mpya ‘One Centimeter’, aliyo shoot nchini Afrika ya Kusini na kuongozwa na Sugarcane Communications. Itazame hapa
10 years ago
Bongo521 Nov
New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)
Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo ‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Bongo520 Feb
New Music Video: Jaguar — Huu Mwaka
Jaguar ametoa kazi mpya kwa mwaka 2015, ni video ya wimbo wake ‘Huu Mwaka’ iliyoongozwa na Godfather. Wimbo unazungumzia mtu masikini ambaye ameweka malengo ya kupata maisha mazuri mwaka huu. kwenye video hiyo Jaguar ameigiza kama mtu masikini anayeishi kijijini,na baadaye anaamua kwenda mjini kutafuta kazi za ndani kwa tajiri wa kizungu. Mwisho wa Video […]
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LiN8DQBjaS8/VhZVCWx9j7I/AAAAAAAH9yE/QOz99r05tPM/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Jaguar for hire for weddings, birthdays, special occasions etc
![](http://3.bp.blogspot.com/-LiN8DQBjaS8/VhZVCWx9j7I/AAAAAAAH9yE/QOz99r05tPM/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania