Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YAWATUNUKU ZAWADI MBALIMBALI WASHIRIKA WENZA WA KIBIASHARA.

 Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei(kushoto)akimkabidhi Bw.Ajali Kibiki(kulia)cheti cha utendaji bora wa kutoa huduma  nzuri  kwa wateja  katika duka la kampuni hiyo lililopo Makamba Mkoani Njombe,Wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa  washirika wa kibiashiara.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Magreth Lawrence na Brigita Stephen.Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Mshirika wa kibiashara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Washindi 62 wamejinyakulia zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya “shinda na kabumbu” ya Vodacom

Jumla ya washindi 62 mpaka sasa wamejishindia zawadi ya shilingi 50,000 kila mmoja na wateja wawili wakubwa wa wiki wamejishindia 1,000,000 kila mmoja katika droo ya kwanza na ya pili ya promosheni ya “SHINDA NA KABUMBU” iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa inawalenga wapenzi wa soka.
Washindi wa shilingi 1,000,000/-katika droo ya kwanza ni Salome Mayoba mkazi wa Kahama,na mshindi wa droo ya pili ni na Raymond Mwegoha mkazi wa Dar es Salaam ambapo washindi wa shilingi 50,000/- wametangazwa...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM‏

Humudini Abdulhussen Ofisa Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha Tanzania (kushoto) akihakiki moja ya namba za simu anazoonyeshwa kwenye kompyuta mpakato na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) na Ofisa Masoko wa kampuni hiyo Prestin Lyatonga (kulia) wakati wa droo ya pili ya shindano la “Shinda na Kabumbu” inayowawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

WATEJA WA VODACOM WANUFAIKA NA SEMINA YA KIBIASHARA

Baadhi ya wateja wa kubwa na wadogo wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Leon Munyeti,wakati wa semina ya kibiashara kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwenye biashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Daud Kabalika ambaye ni Mteja wa Vodacom Tanzania (kulia) akimuuliza swali Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Nixon...

 

11 years ago

GPL

VODACOM KUKABIDHI ZAWADI MEI 27

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya kukabidhi zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura. •Azam TV kurusha “live”
Bingwa wa Ligi kuu ya Vodacom...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigela(mwenye suti nyeusi)pamoja na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City(kushoto)wakionesha hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na  Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza baina ya timu Mbeya City na  Azam FC,Ambapo Azam FC iliilaza Mbeya City kwa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI‏

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigala(mwenye suti nyeusi)pamoja na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City (kushoto)wakionesha hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na  Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza baina ya...

 

10 years ago

Michuzi

LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE WAKATI WA SIKUKUU YA SABASABA

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kulia) akimpa mkono na Bw. Festo Sakaya (kushoto) baada ya mteja huyo kujinunulia friji la kisasa ndani ya banda lao la maonyesho ya Sabasaba ambapo baada ya kufanya manunuzi alizawadiwa microwave ya bure, ya LG. Kampuni hiyo ipo kwenye promosheni ya punguzo la bidhaa zake kwa asilimia 15 kwa msimu huu wa sabasaba na ramadhani. Katikati ni meneja wa tawi la LG Mtaa wa Nkurumah Bw. Yasin Lodhi. Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG,...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname msaada wa vyakula na kitoweo cha mbuzi na mafuta ya kula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya ya Idd El Haji Dar es Salaam leo asubuhi. Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha kulea Watoto Mayatima (Chakuwama) cha Sinza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani