Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


volunteers wanahitajika hapa mzalendo.net

Salam wazalendo wote Tukiwa katika kipindi muhimu cha uchaguzi mkuu wa nchi yetu, mzalendo.net inahitaji vijana watatu watakao fanya kazi ya kujitolea kuandika taarifa za matukio kila yanapojiri. Sifa za muamboji Awe amemaliza mafunzo ya uandishi […]

The post volunteers wanahitajika hapa mzalendo.net appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO MAALUM: MEDICAL MISSION TO TANZANIA- Volunteers Wanahitajika


Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania hapa Washington DC, Maryland and Virginia inapenda kuwataarifu wanajumuiya na Watanzania wote hapa Marekani kuwa kwa kushirikiana na Kampuni isiyo ya kiserikali (NGO)yenye makao yake makuu hapa Marekani inaandaa kwenda Tanzania kutoa huduma za afya za bure kwa watanzania watakao hitaji huduma hizo Tanzania. Mission hii itaanzana July 18- Mpaka July 26, 2015.



Uongozi wa Jumuiya hapa DMV imeanza kutayarisha timu ya madaktari na wauguzi watakaoweza kujitolea...

 

11 years ago

GPL

WAANDISHI MAHIRI WA HABARI WANAHITAJIKA HARAKA

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni inayoendelea kukua katika tasnia ya habari nchini, kwa mwaka 2014 ina nafasi za kazi za uandishi mahiri wa habari kwa wenye elimu, ujuzi na sifa zifuatazo:
ELIMU NA SIFA:
Wanahitajika waandishi mahiri wenye elimu ya Degree, Advanced Diploma au Diploma ya uandishi wa habari, wenye ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya habari za michezo na burudani ndani na nje ya Tanzania. Kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa michezo wanahitajika shule za msingi

Ni kweli michezo ni burudani, ila kutokana na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, michezo ni kipaumbele katika kutoa ajira pana, kukuza biashara na kujenga jamii bora yenye maelewano.

 

11 years ago

GPL

MADEREVA WANAHITAJIKA WASHINGTON DMV‏

NAFASI ZA KAZI TUNAHITAJI MADEREVA WA CARS . SUV . MINIVAN WASHINGTON DMV ONLY CITY AND LONG DISTANCE PASSENGERS TRANSPORTATION AND DELIVERY SVC EMAIL DMKGLOBAL@ME.COM / 3016616207 /2028308904 

 

11 years ago

GPL

NAFASI ZA KAZI: VIJANA WAWILI WANAHITAJIKA HARAKA

Wanatakiwa vijana wawili kwa ajili ya kusambaza magazeti kwa kutumia pikipiki. Vijana hawa wanatakiwa haraka. Sifa:
1.Awe na uwezo wa kuendesha pikipiki na ni sharti awe na leseni.
2.Awe anajua hesabu,kusoma na kuandika vizuri.
3.Awe anafahamu vizuri maeneo yote ya jiji la Dar es salaam.
4.Mwaminifu,Anayejituma awe na wadhamini wawili.
5.Asiwe anakunywa pombe na awe anaishi DSM.
Sifa za ziada:Kama ana uzoefu wa biashara ya...

 

10 years ago

Day Demos

Former JKT volunteers to hold three


Former JKT volunteers to hold three-day demos
IPPmedia
Hundreds of former National Service volunteers hunting for jobs yesterday gave the government eight days to work on the issue, failing which they will hold a three-day peaceful demonstration in Dar es Salaam next Monday. Their secretary, Linus Steven, said ...

 

9 years ago

TheCitizen

Chadema: Release our volunteers

Chadema have written Inspector General of Police (IGP) Ernest Mangu seeking his intervention over last night’s raid by state security agents on its three election tallying centres.

 

10 years ago

BBC

Volunteers drown in South Africa

Two British charity volunteers drown while swimming off the coast of South Africa.

 

10 years ago

BBC

The volunteers ready to fight Ebola

The health workers volunteering to fight Ebola

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani