Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAFASI ZA KAZI: VIJANA WAWILI WANAHITAJIKA HARAKA

Wanatakiwa vijana wawili kwa ajili ya kusambaza magazeti kwa kutumia pikipiki. Vijana hawa wanatakiwa haraka. Sifa:
1.Awe na uwezo wa kuendesha pikipiki na ni sharti awe na leseni.
2.Awe anajua hesabu,kusoma na kuandika vizuri.
3.Awe anafahamu vizuri maeneo yote ya jiji la Dar es salaam.
4.Mwaminifu,Anayejituma awe na wadhamini wawili.
5.Asiwe anakunywa pombe na awe anaishi DSM.
Sifa za ziada:Kama ana uzoefu wa biashara ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAANDISHI MAHIRI WA HABARI WANAHITAJIKA HARAKA

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni inayoendelea kukua katika tasnia ya habari nchini, kwa mwaka 2014 ina nafasi za kazi za uandishi mahiri wa habari kwa wenye elimu, ujuzi na sifa zifuatazo:
ELIMU NA SIFA:
Wanahitajika waandishi mahiri wenye elimu ya Degree, Advanced Diploma au Diploma ya uandishi wa habari, wenye ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya habari za michezo na burudani ndani na nje ya Tanzania. Kwa...

 

9 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Wabunge vijana; Ni haraka ya mabadiliko au wamepotoka?

>Mwamko wa kisiasa miongoni mwa vijana, pamoja na kutaka mabadiliko kumesababisha vijana wengi kuwania nafasi mbalimbali ukiwamo ubunge.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TUNAOMBA HARAKA MKONDO WA SHERIA UFANYE KAZI ZAKE

VIGOGO WALIOPATA MGAO WA TAGETA ESCROW LINI WATAJIUZULU ?Watanzania tunaomba sherehe za vigogo watuhumiwa zifikike mwisho

Ni mategemeo yetu watanzania wengi kuwa vigogo waliohusika kwa namna moja au nyingine katika sakata la fedha za Tageta Escrow kuwa wanajiuzulu nafasi zao
na mkondo wa sheria uwashughulikie haraka kwani hakuna aliye juu ya sheria watanzania wote tupo chini ya sheria.

Vigogo hawa wazito wanahusika kupokea mgao wa fedha za wavuja jasho wa nchi hii lazima washughulikiwe na...

 

11 years ago

Michuzi

Mabadiliko ya mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka

Ofisi ya Rais - Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (OR- UUM) imetoa taarifa kwa umma kuwa utekelezaji wa mfumo wa – Big Results Now ! (BRN) unaendelea vizuri. Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) unaweka utaratibu thabiti wa kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa miradi katika maeneo sita ya kimkakati kitaifa (Kilimo, Elimu, Maji, Nishati , Uchukuzi na Utafutaji wa Rasilimali).
Mfumo wa BRN unaweka wazi malengo pamoja na kuainisha uwajibikaji kwa kila mshiriki mmoja au taasisi...

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI

Wanahitajika wasichana wa kuuza duka kubwa liliopo posta jijini dar es salaam, wenye uwezo wa kufanya Marketing, na Online Sales. 
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383

 

11 years ago

TZToday

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi...

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI YA UALIMU BAGAMOYO



Shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyoko Kiromo Bagamoyo inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo

ENGLISH
SWAHILI
BOOKKEEPING
COMMERCE

Fika shuleni Kiromo kwa kuleta maombi yako siku ya mahojiano ni tarehe 22 na 23 May 2014 au kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715836237

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MADEREVA

 SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA)  SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) linawatangazia Watanzania wote hususan wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba linahitaji kuajiri madereva  kwa ajili ya kuendesha mabasi yake hapa jijini. SIFA ZA WAOMBAJIWaombaji wa kazi ya udereva wanatakiwa kuwa na umri wa kuanzia miaka 30-55, ujuzi wa udereva wa mabasi kutoka katika vyuo vya VETA, NIT, au chuo kingine kinachotambulika na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi nchini (NECTA). Pia wanapaswa kuwa na leseni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani