WAANDISHI MAHIRI WA HABARI WANAHITAJIKA HARAKA
![](http://api.ning.com:80/files/EzW97n0q1C2VVwqM4pYBeOABRM*IcjkRe05fwaiNR80KJjrGoivjhz2uH1kGkIqvY3K1LmhQs18Vtqhl0h7X8zhLo71ldyzP/GPL_Logo_FinalWEWB.gif?width=400)
Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni inayoendelea kukua katika tasnia ya habari nchini, kwa mwaka 2014 ina nafasi za kazi za uandishi mahiri wa habari kwa wenye elimu, ujuzi na sifa zifuatazo: ELIMU NA SIFA: Wanahitajika waandishi mahiri wenye elimu ya Degree, Advanced Diploma au Diploma ya uandishi wa habari, wenye ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya habari za michezo na burudani ndani na nje ya Tanzania. Kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB-f1-KGmNFiNIyX355zZQc4DYchc9ZkWT7xw*CzYbJz5cME8N8poA65*QOI-p1-irVt7cLkLCJEFrZakpt9mIrg/GPL_Logo_FinalWEWB.gif?width=550)
NAFASI ZA KAZI: VIJANA WAWILI WANAHITAJIKA HARAKA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s72-c/2.jpg)
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fa5_n9_MOso/VbjFqqe6J3I/AAAAAAAC9DU/P_FbShviPM0/s640/3.jpg)
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...
9 years ago
StarTV04 Dec
Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta
Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.
Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/IbsHjlT0tFc/default.jpg)
9 years ago
MichuziWAANDISHI HABARI WA ZANZIBAR WAPATIWA MBINU BORA ZA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI MKUU.
9 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TANO YA JINSI YA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xESQbmuxWTA/XtYDuk9aurI/AAAAAAALsSY/s8_Z-3oytzQUZ8YaBz3PaZU6YQn0yhsDQCLcBGAsYHQ/s72-c/16513870_101.jpg)
JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.
Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...
10 years ago
Vijimambo16 Jul
HABARI KWA KINA MKUTANO WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2791042/highRes/1063499/-/maxw/600/-/118eetjz/-/pic+cuf.jpg)
Dar es Salaam. Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limeutaka uongozi wa chama hicho kusitisha uamuzi wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya...