VULLU AKABIDHI VIFAA TIBA KIKONGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-CMohjODs2t4/XlO-4ydtyDI/AAAAAAALfFA/l9KeABpSPr8FibtI0RRBx1YjxG6-dC5CwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200220-WA0025.jpg)
MWAMVUA MWINYI, PWANIMBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Pwani Zaynab Vullu, amekabidhi vifaa tiba katika zahanati za Kikongo na Disunyara, Kibaha Vijijini lengo ni kuwapunguzia changamoto wagonjwa wanaopatiwa tiba kwenye zahanati hizo. Akizungumza kwenye zahanati ya Kikongo kabla ya kukabidhi vifaa hivyo ikiwemo mashuka, vipomo vya presha, sukari, apron za kuvaa kifuani na mipira ya kitanda ya kuzuia shuka zisichafuke, Vulu amesema kuwa kwa uchache wake ameamua kufika hapo kukabidhi vifaa tiba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-myMSBU9RMCY/Xq_tIsX2DLI/AAAAAAABMCk/2_vPIzrZUYEWmF6qmV-8JVX-QuJEXNf0QCLcBGAsYHQ/s72-c/95369533_881795262337749_7986312861653663744_o.jpg)
MBUNGE MWAKANG'ATA WA RUKWA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA ZAHANATI YA MAJENGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-myMSBU9RMCY/Xq_tIsX2DLI/AAAAAAABMCk/2_vPIzrZUYEWmF6qmV-8JVX-QuJEXNf0QCLcBGAsYHQ/s400/95369533_881795262337749_7986312861653663744_o.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hBZN131hlkk/Xtywq7TTQQI/AAAAAAALs5g/bbPKhgW35Ngn548h-mFXZ1rUQwtnQu42wCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_20200607-102026_1591515051646.png)
MBUNGE WA CHALINZE AKABIDHI VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA MIONO MKOANI PWANI
Akikabidhi vifaa hivyo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya chalinze,alisema vifaa hivi vitakuwa neema na mkombozi kwa mahitaji wa afya kutokana na baada ya ukamilikaji wa chumba cha Upasuaji ambacho kitahudumia wananchi wa maeneo hayo hususan wakina mama wakati wa kujifungua na huduma za upasuaji.
"Nimekuwa nikikosa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-gAeegCq5D4c/XlaivzbC0mI/AAAAAAACzg4/CSfqTNKV9HgeuoBwJbJIhqIMdkKNaqsbQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2BA.jpg)
KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-gAeegCq5D4c/XlaivzbC0mI/AAAAAAACzg4/CSfqTNKV9HgeuoBwJbJIhqIMdkKNaqsbQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2BA.jpg)
9 years ago
StarTV15 Aug
Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.
Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.
Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Hospitali zakabidhiwa vifaa tiba
TAASISI ya Mapafu imekabidhi vifaa tiba kwa hospitali za mikoa mitatu vitakavyosaidia kupunguza vifo vya watoto pindi wanapozaliwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Ilala yapatiwa vifaa tiba
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni moja kutoka kampuni ya Double tree. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, wakati...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8y03J-HMOo4/Xq_8jlR6YaI/AAAAAAALpCM/mVVZCxioDwYBJbuJgY3hFFX7tfX6CgMTwCLcBGAsYHQ/s72-c/dd46b1e0-fbfc-4ca8-a297-7aec53878b99.jpg)
DC WARYUBA AKABIDHI VIFAA VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-8y03J-HMOo4/Xq_8jlR6YaI/AAAAAAALpCM/mVVZCxioDwYBJbuJgY3hFFX7tfX6CgMTwCLcBGAsYHQ/s640/dd46b1e0-fbfc-4ca8-a297-7aec53878b99.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/c3f98362-5dd8-4909-a0e2-2745efd03256.jpg)
……………………………………………………………………..
Mkuu wa wilaya Tandahimba Mhe. Sebastian Waryuba amekabidhi vifaa vya kupambana na ugonjwa wa Covid 19 vinavyosababishwa na virusi Corona.
DC Waryuba amemkabidhi Mganga Mkuu wa wilaya Tandahimba Dk. Antipass Swai vifaa vyenye thamani ya Tsh. Milioni sitini na mbili laki sita na elfu arobaini (62,640,000/=) ambapo amewasihi Wataalamu hao wa afya kuvitunza vifaa hivyo na viwaongezee kasi ya mapambano ya virusi vya Corona na kuisihi jamii kutiana moyo na kuacha...
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Wilaya ya Rufiji yapokea vifaa tiba
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid akiongea na wananchi wa kata ya Mbwala wilayani Rufiji mkoa wa Pwani Juma Ligomba hivi karibuni kabla ya kukabidhi vifaa tiba ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani humo.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid amekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 23.8 ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Masasi yatenga mil. 7/- za vifaa tiba
HALMASHAURI ya Wilaya ya Masasi imetenga sh milioni 9.07 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba vya kitengo cha mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo. Akijibu swali...