Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ilala yapatiwa vifaa tiba

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni moja kutoka kampuni ya Double tree. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, wakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kairuki aipatia Ilala vifaa tiba vya mil.65/-

 NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki ametoa msaada wa vifaatiba na vifaa vingine vya hospitali kwenye vituo vitano vya afya, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 65. Amesema msaada huo ni mchango wake katika kuimarisha huduma za afya nchini.

 

5 years ago

CCM Blog

KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. ngella Kairuki akiteta jambo katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu iliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia hoja na maelezo kutoka kwa Viongozi wa Serikali wakati wa Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu uliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Mwenyekiti wa Chama cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali Iringa yapatiwa vifaa

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Iringa Development of Youth Disabled and Children Care (IDYDC) kwa kushirikiana na Redio Nuru FM ya mjini hapa, wametoa misaada ya viti vitano vya kubebea...

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule ya Viziwi Buguruni yapatiwa vifaa vya Tehama

WIZARA ya Sayansi na Teknolojia imeutaka uongozi wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni kuhakikisha vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walivyokabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi vinatumika kama vilivyokusudiwa....

 

9 years ago

Michuzi

Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepatiwa msaada wa vifaa kumi  vya tiba vya kuwahudumia watoto  mara wapougua na kufikishwa kwenye hospitali hiyo.
Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa  ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba

Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]

The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA

Na: Moh’d Said  Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Tukio hilo lilifanyika leo katika viwanja vya shule ya mtemani mbele ya kamati ya shule hiyo ambapo muhisani na mdau wa maendeleo nchini ambaye pia ni mhadhiri kutoka chuo kikuu cha London, SOAS, Bwana Yussuf Shoka Hamad alikabidhi zawadi hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali zakabidhiwa vifaa tiba

 TAASISI ya Mapafu imekabidhi vifaa tiba kwa hospitali za mikoa mitatu vitakavyosaidia kupunguza vifo vya watoto pindi wanapozaliwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani