Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu bungeni zawakera wasomi

Vurugu na mivutano inayoendelea katika Bunge Maalumu la Katiba imewakera baadhi ya wasomi ambao kwa nyakati tofauti, wamesema kinachoendelea sasa ni matokeo ya mchakato mbovu wa namna ya kupata Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vurugu bungeni ‘kifungo’ siku 10

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoMJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba atakayevunja, kujaribu kuvunja utaratibu, amani na utulivu au kuonesha tabia za vurugu kwa kutumia nguvu na mabavu ndani ya ukumbi wa mikutano, atakabiliwa na adhabu ya kuzuiwa vikao kwa siku 10.

 

10 years ago

Mtanzania

Vurugu kura ya maoni bungeni

NA WAANDISHI WETU, DODOMA NA DAR
WABUNGE wa upinzani jana walisababisha kikao cha asubuhi cha Bunge kivunjike, baada ya kusimama na kutaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda atoe kauli juu ya mustakabali wa uandikishaji wapigakura na hatima ya kura ya maoni.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha kikao hicho baada ya wabunge hao kusimama wote na kuwasha vipaza sauti wakimtaka Pinda atoe kauli, kwani kwa muda mrefu Serikali imekuwa haitoi majibu ya suala hilo.

CHANZO CHA VURUGU
Dalili za...

 

10 years ago

CloudsFM

VURUGU ZA ZUKA BUNGENI AFRIKA KUSINI

Bunge la Afrika kusini liligeuka kuwa uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati na maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa nguvu na baadae wabunge wengine wa upanzani nao wakatoka nje ya ukumbi.
Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini:Vurugu zatanda Bungeni

Wapinzani wa Chama cha EFF watolewa nje ya Bunge la Afrika kusini kwa nguvu

 

11 years ago

Habarileo

Mwanasiasa mkongwe haoni mantiki ‘vurugu’ bungeni

MWANASIASA wa siku nyingi hapa nchini, Pancras Ndejembi amesema haoni mantiki ya wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususa vikao vya bunge la katiba na kutaka kukimbilia kwa wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya

Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda

 

10 years ago

Mwananchi

Kodi za mabango zawakera wafanyabiashara

Chama cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo (TCCIA), mkoani Morogoro kimesema baadhi ya sheria ndogo zinazotungwa na halmashauri, zimekuwa zikiwakandamiza wafanyabiashara na kusababisha migogoro baina yao na vyombo vingine vya Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuhuma za rushwa zawakera wajumbe wateule wa Rais

Sakata la baadhi ya wajumbe wa kuteuliwa katika Bunge la Katiba, kutuhumiwa kuhongwa chakula na vinywaji ili waunge mkono hoja ya Serikali mbili, sasa limetawala mijadala ya wajumbe wa bunge hilo nje ya Bunge, huku wengine wakitaka suala hilo liondolewe kwenye Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani