Vurugu kombe la dunia likikaribia kuanza
Polisi katika mji wa Sao Paulo nchini Brazil wametumia gesi ya kutoa machozi kutawanya mdogo waandamana kupinga kuandaliwa kwa kombe la dunia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO
Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior ' Neymar '. John Joseph na mtandao NJIA ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2014 inachongwa leo Ijumaa na kesho Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi nne za robo fainali.…
10 years ago
Michuzi
STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U20

WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.
Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani yatachuana kuwania ubingwa.
Akizungumza baada ya kupata haki miliki kutoka kwa FIFA za...
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Kombe la FA kuanza Novemba
Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Martin Chacha amesema wanatarajia mashindano ya Kombe la Chama cha Soka (FA) kuanza Novemba.
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Mechi za kombe la Afrika kuanza leo
Timu zote Afrika zimewasili nchini Equatorial Guinea wakati ambapo mechi za taifa bingwa barani zinatarajiwa kung'oa nanga hii leo
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi
Michuano ya kombe la mapinduzi kuanza kutimua vumbi Zanzibari januari mosi mpaka Januari 13 mwakani.
10 years ago
Michuzi.png)
ROBO FAINALI KOMBE LA TAIFA WANAWAKE KUANZA KESHO
.png)
Mechi ya kwanza ya robo fainali ya michuano hiyo itakayooneshwa moja kwa moja na Azam Televisheni itaanza saa 9 alasiri kwa kuzikutanisha Mwanza na Kigoma. Robo fainali ya pili ambayo ni kati ya Tanga na Pwani itaanza saa 11 kamili jioni.
Ilala na Iringa watacheza robo...
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Historia ya kombe la dunia
Mihemko imeanza kushuhudiwa kabla ya kombe la dunia kuanza Brazil. Je unajua historia ya kombe hilo na baadhi ya wachezaji waliowakilisha Afrika?
11 years ago
Michuzi
kombe la dunia brazil?


11 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania