‘Vurugu marufuku Chalinze’
Serikali mkoani Pwani imeingia mkataba wa makubaliano ya amani na utulivu na vyama saba vya siasa vilivyopo mkoani hapa, lengo likiwa kudhibiti vurugu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze na wakati wa upigaji kura Aprill 6 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kampeni Chalinze vurugu tupu
Msuguano umeibuka kati ya CCM na CUF kwenye kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Chalinze ambako wafuasi wanatuhumiana kufanyiana fujo.
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Pwani kudhibiti vurugu kampeni Chalinze
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amesema mkoa wake umejipanga kudhibiti vurugu na fujo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka...
11 years ago
Michuzi05 Aug
MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze mjini Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo.
Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini...
Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini...
10 years ago
MichuziTaarifa ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City)
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini Wizara ya Fedha anautangazia Umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City).
Fomu za Maombi zinapatikana katika matawi ya Benki ya Posta ya Azikiwe, Metropolitan na Mkwepu kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa Pwani zinapatikana katika tawi dogo la Benki ya Posta Bagamoyo na ofisi za Posta Chalinze. Pia maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti yetu ya :
http://www.utt-pid.orgAu ...

GPLMBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo, Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi...
11 years ago
Michuzi14 Jul
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE
Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete,Bi. Arafa Mohammed (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kuishi katika mazingira magumu.ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo.
Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...
Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...
11 years ago
GPLMKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.…
10 years ago
MichuziUTT-PID yawatangazia umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City)
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini Wizara ya Fedha anautangazia Umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City).
Fomu za Maombi zinapatikana katika matawi ya Benki ya Posta ya Azikiwe, Metropolitan na Mkwepu kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa Pwani zinapatikana katika tawi dogo la Benki ya Posta Bagamoyo na ofisi za Posta Chalinze.
Pia maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti yetu ya : http://www.utt-pid.org Au ...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania