‘Waajiri shirikini Career Day’
WAAJIRI nchini wametakiwa kushiriki Siku ya Taaluma (Career Day) ambayo hufanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCoBS) kwani ni sehemu muhimu ambayo wanaweza kukutana na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMUCCoBS YAWAKUTANISHA WANATAALUMA NA WAAJIRI KATIKA CAREER DAY
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Oman News Agency23 Feb
SQU Career Guidance Centre to Organize Career & Training Fair 2014
Oman News Agency
Muscat, Feb 23 (ONA) ---- Sultan Qaboos University (SQU), represented by the Career Guidance Centre will organize the Career & Training Fair 2014 during March 11th to 13th at SQU Cultural Centre with participation of over 50 institutions representing the ...
Zanzibar team praises Sultan Qaboos UniversityTimes of Oman
all 2
10 years ago
Mwananchi10 Oct
TCCIA: Shirikini maonyesho ya biashara
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Siro: Jamii shirikini katika ulinzi
NAIBU Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Siro, ameitaka jamii kushiriki katika ulinzi kuanzia ngazi za familia ili kukomesha vitendo vya uhalifu na udokozi. Akizungumza jijiji Dar es Salaam,...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Waajiri wafundwa
WAAJIRI wametakiwa kushiriki Siku ya Taaluma nchini (Career Day) ambayo hufanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Moshi (MUCCoBS) kama sehemu muhimu ya kukutana na watu...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
SSRA yawaonya waajiri
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imewaonya waajiri na Mifuko ya Hifadhi nchini kutowalazimisha wafanyakazi kujiunga na mifuko wanayoitaka wao. Akitoa taarifa kwa umma...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Mwigulu awavaa waajiri
Aagiza wakamatwe na kushitakiwa haraka
NA MOHAMMED ISSA NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeagiza kushitakiwa kwa waajiri wote nchini, ambao hawawasilishi michango ya wafanyakazi wao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia imewaonya waajiri kuacha mara moja tabia ya kutopeleka ama kuchelewesha michango ya wafanyakazi kwa kuwa ni kinyume cha sheria.
Mbali na hilo, imesema inaridhishwa na utendaji unaofanywa na uongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, kwa kuongeza thamani ya mfuko huo.
Naibu Waziri wa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Waajiri nchini washauriwa
WAAJIRI nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwa na siku maalumu ya kuwakutanisha wafanyakazi na familia zao nje ya maeneo ya kazi, jambo ambalo litawaongezea upendo na ufanisi katika utendaji kazi...
9 years ago
Habarileo15 Aug
Waajiri wa madereva waonywa
SERIKALI itaanza kuchukua hatua za kisheria kwa waajiri watakaokiuka makubaliano katika mikataba mipya ya madereva kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu, huku madereva wakionywa kuacha tishio la migomo.