Waandishi wakerwa na urasimu ofisi ya RPC
KAMANDA wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Godfrey Kamwela jana alijikuta katika wakati mgumu, baada ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, kumueleza kuwa ofisi yake imejaa ukiritimba wa kutotoa ushirikiano na kuficha taarifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WATENDAJI SEKTA YA ARDHI OFISI ZA MIKOA WATAKIWA KUEPUKA URASIMU

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa watendaji wa sekta ya Ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma jana.

Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Nhonge akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Watendaji wa sekta ya ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi...
10 years ago
Michuzi
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU


10 years ago
Mwananchi11 Nov
Wakerwa na uzembe Moshi
11 years ago
Habarileo
Maaskofu wakerwa na wabunge
10 years ago
Habarileo26 Nov
Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua
WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wawakilishi wakerwa kupapaswa uwanjani
BAADHI ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuweka vifaa vya kisasa vya ukaguzi kwa abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na kuacha tabia ya kuwakagua abiria kwa kuwapapasa mwili.
10 years ago
Habarileo11 Apr
Wakerwa misaada kupokewa kisiasa
WAATHIRIKA wa mafuriko kata ya Lamadi Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wameeleza kusikitishwa na misaada iliyotolewa na taasisi mbalimbali kupokewa kisiasa.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wadau wakerwa na Sh 1,200 DART
NAULI ya Sh 1,200 iliyopendekezwa na watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (UDA RT) imepingwa na wadau wa sekta ya usafiri, badala yake wameshauri iwe kati ya Sh 400 na 500 kutimiza malengo ya kusaidia wananchi wa kipato cha kawaida.